Hoteli : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Mayfield Hotel.JPG|alt=Hoteli|thumb|249x249px|Hoteli mojawapo.]]
'''Hoteli''' ni [[jengo]] kubwa lenye [[vyumba]] vingi, ambapo watu wanaweza ku[[lala]]kulala wakati hawapo [[nyumbani]].Moteli ni hoteli hasa kwa waendesha [[pikipiki]],ma[[dereva]].
Wenye sehemu hizo wanakodisha [[chumba]] kwa siku yoyote. Wanatoa vyumba vya kulala, na kwa kawaida hata [[chakula]], hatimaye kwa ajili ya [[huduma]] hizo hutaka [[pesa]], ambazo kiasi chake hutegemea ubora wa jengo.
 
Hizi sehemu zitakodisha chumba kwa siku yoyote.Wanatoa vyumba vya kulalia,na hutaka [[pesa]] kwa ajili ya [[huduma]].Pia kuna hoteli ambazoambapo [[mikutano]] hufanyika.
 
[[Moteli]] ni hoteli hasa kwa ma[[dereva]], waendesha [[pikipiki]] n.k.
 
{{mbegu-uchumi}}
[[Jamii:Majengo]]
[[Jamii:Uchumi]]