Hoteli : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Mayfield Hotel.JPG|alt=Hoteli|thumb|249x249px|Hoteli mojawapo.]]
'''Hoteli''' (kutoka [[neno]] la [[Kiingereza]] ''hotel'' linalotokana na lile la [[Kifaransa]] ''hôtel'' ambalo, sawa na neno "[[hospitali]]", lina asili katika [[Kilatini]] ''hospes'', yaani ''mgeni'') ni [[jengo]] kubwa lenye [[vyumba]] vingi, ambapo watu wanaweza kulala wakati hawapo [[nyumbani]].
Wenye sehemu hizo wanakodisha [[chumba]] kwa siku yoyote. Wanatoa vyumba vya kulala, na kwa kawaida hata [[chakula]], hatimaye kwa ajili ya [[huduma]] hizo hutaka [[pesa]], ambazo kiasi chake hutegemea ubora wa jengo.