Helmut Kohl : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Bundesarchiv B 145 Bild-F074398-0021, Bonn, Pressekonferenz Bundestagswahlkampf, Kohl.jpg|thumb|right|350px|Helmut Kohl kunako mwaka wa 1987.]]
'''Helmut Josef Michael Kohl''' (amezaliwa tar. [[3 Aprili]] [[1930]] mjini [[Ludwigshafen am Rhein]] - [[16 Juni]] [[2017]]) ni [[Siasa|mwanasiasa]] kutoka nchini [[Ujerumani]]. Anatokea katika chama cha [[CDU]]
 
kuanzia mwaka 1969 hadi 1976, alikuwa Waziri-Rais wa jimbo la Rhineland-Palatinate na kuanzia mwaka 1982 hadi 1998, alipata kuwa [[Machansela wa Ujerumani|Chansela wa Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani]]. Kohl alisaidia mpango mzima wa kurudisha muungano wa Ujerumani na kushiriki vilivyo katika swala zima la muungano wa nchi za [[Ulaya]].