Mangosuthu Buthelezi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d fixing dead links
+ Picha & Commons
Mstari 1:
[[Picha:Mangosuthu Buthelezi (1983).jpg|thumb|Mangosuthu Buthelezi (1983)]]
 
Inkosi '''Mangosuthu ("Gatsha") Ashpenaz Nathan Buthelezi''' (amezaliwa tar. [[27 Agosti]] [[1928]]) ni kiongozi wa [[Kizulu]] huko nchini [[Afrika Kusini]], na vile vile kiongozi wa chama cha [[Inkatha Freedom Party]] (IFP) ambacho kiliundwa mwaka [[1975]].
 
== Wasifu ==
=== Maisha ya awali ===
Mangosuthu alizaliwa mnamo tar. [[27 Agosti]] mwaka wa [[1928]], mjini Mahlabathini, [[KwaZulu-Natal]], na Chief Mathole Buthelezi na binti wa mfalme Magogo kaDinizulu, ambaye ni dada wa mfalme [[Solomon kaDinuzulu]]. Alipata elimu yake ya msingi katika shule ya Impumalanga iliyoko Mahashini, [[Nongoma]], tangu mwaka [[1933]] hadi mwaka [[1943]], kisha katika chuo kimoja kiitwacho Adams College, kilichopo Amanzimtoti, tangu mwaka [[1944]] hadi [[1947]].
 
Baadae akaelekea katika Chuo Kikuu cha Fort Hare kuanzia mwaka [[1948]] hadi [[1950]], ambapo huko ndiko aliko jiunga na chama cha African National Congress Youth League na kuanza kupata mawasiliano na [[Robert Mugabe]] na [[Robert Sobukwe]]. Mangosuthu alifukuzwa Chuoni baada ya wanafunzi kuleta mgomo. Kisha baadae alikuja kumalizia Digrii yake katika Chuo Kikuu cha Natal.
 
== Marejeo ==
# William Beinart, "Twentieth Century South Africa", Oxford, 2001, pg. 330
 
== Viungo vya nje ==
{{Commons category}}
* [http://www.infoplease.com/ce6/people/A0809619.html Wasifu kuhusu Buthelezi]
* [http://news.bbc.co.uk/2/hi/africa/3665897.stm Habari zinazo jadili kuhusu kupigwa chini kwa Buthelezi kuwa kama Waziri mkuu wa mambo ya ndani]