Skauti : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
dNo edit summary
No edit summary
Mstari 2:
'''Skauti''' (kutoka [[neno]] la [[Kiingereza]] "scout") ni [[mtoto]] au [[kijana]] anayewajibika katika [[chama]] cha kimataifa, akivaa [[sare]] kama ya [[askari]] mdogo na kukaa katika safu.
 
AU:Pia ni chama kisicho cha [[Serikali|kiserikali]] kinacho mjengakinachomjenga kijana katika [[maadili]] mema kisichokisichobagua baguakwa rangi,msingi wa [[jinsia]], [[umri]],dinina [[dini]], [[rangi]] wala [[kabila]].
 
[[Mwanzilishi]] wa [[chama cha skauti]] [[duniani]] ([[1907]]) aliitwa Robert Baden-Powell ([[1857]]–[[1941]]) kutoka [[Uingereza]]. Lengo lake lilikuwa kusaidia vijana kukua vizuri pande zote ([[mwili]], [[nafsi]] na [[roho]]) ili hatimaye wawe [[raia]] wema katika [[jamii]].
 
== kanuniKanuni za skauti ==
*1. Heshima ya skauti ni kuaminiwa.
*2. Skauti ni mzalendo kamili.
*3. Skauti ni mtu wa kufaa na kusaidia wengine.
*4. Skauti ni [[rafiki]] kwa wote na [[ndugu]] kwa kila skauti.
*5. Skauti ni mwenye [[adabu]] kamili.
*6. Skauti ni mwenye [[huruma]] kwa [[Viumbehai|viumbe]].
*7. Skauti ni mtiifu kamili.
*8. Skauti ni mchangamfu daima.
*9. Skauti ni mwangalifu wa [[mali]] zake na za wengine pia.
*10. Skauti ni safi katika mawazo, maneno, na matendo yake.
 
{{mbegu}}