Mvua : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 134 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q7925 (translate me)
No edit summary
Mstari 3:
 
Mvua ni aina ya [[usimbishaji]].
 
==Kutokea kwa mvua==
Asili ya mvua ni [[mvuke]] wa [[maji]] katika [[angahewa]]. Kiasi cha mvuke hewani kutajwa kama gramu za maji kwa kilogramu ya hewa. <ref>{{cite web|author=Steve Kempler|year=2009|url=http://daac.gsfc.nasa.gov/PIP/shtml/atmospheric_water_vapor_or_humidity.shtml|title=Parameter information page|publisher=[[NASA]] [[Goddard Space Flight Center]]|accessdate=2008-12-27 |archiveurl = https://web.archive.org/web/20071126083414/http://daac.gsfc.nasa.gov/PIP/shtml/atmospheric_water_vapor_or_humidity.shtml |archivedate = November 26, 2007}}</ref><ref>{{cite book |url=http://www.atmos.washington.edu/~stoeling/WH-Ch03.pdf| page=80|accessdate=2010-01-30|date=2005-09-12|author=Mark Stoelinga|title=Atmospheric Thermodynamics|publisher=[[University of Washington]]}}</ref> Kiasi cha unyevu (yaani maji) katika angahewa huitwa [[unyevuanga]] uwezo wa hewa kushika unyevuanga hutegemea halijoto ya hewa. Hewa baridi ina uwezo mdogo kutunza unyevu ndani yake, kiasi kinaongezeka kadri halijoto iko juu zaidi. Pale ambako hewa inafikia hali ya kushiba unyewa unaanza kutonesha yaani matone kutokea. Wakati matone yanafikia kiwango fulani cha uzito yanaanza kuanguka chini yaani mvua inaanza kunyesha.
 
 
 
{{mbegu-sayansi}}