Tanzania : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary Tags: Mobile edit Mobile web edit |
Tengua pitio 1004663 lililoandikwa na ANTHONY YOSE (Majadiliano) |
||
Mstari 20:
| [[Mji Mkuu]] || [[Dodoma mjini|Dodoma]]
|----
| [[Makao ya Serikali]] || [[
|----
| [[Serikali]] || [[Jamhuri]]
Mstari 30:
| [[Eneo]] || [[km²]] 947.303
|----
| Wakazi ||
|----
| Wakazi kwa km² || 47.5
|----
| Uhuru || Tanganyika kutoka [[Uingereza]]
|----
| [[Pesa]] || [[Shilingi ya Tanzania]]
Mstari 60:
Tanzania ni nchi kubwa zaidi kati ya wanachama wa [[Jumuiya ya Afrika ya Mashariki]].
[[Mji mkuu]] ni [[Dodoma mjini|Dodoma]] (wenye wakazi 410,956), lakini [[
==Jiografia==
{{main|Jiografia ya Tanzania}}
Nchi iko katika eneo la [[Maziwa makubwa ya Afrika]],
▲Mito inaelekeza [[maji]] yake katika [[Bahari ya Hindi]] [[mashariki]] mwa nchi, lakini mingine inachangia [[Mto Zambezi]] kupitia [[Ziwa Nyasa]], michache [[Bahari ya Kati]] kupitia [[Ziwa Victoria]] na [[mto Naili]], mingine tena [[Bahari Atlantiki]] kupitia [[Ziwa Tanganyika]] na mingine inaishia katika [[mabonde]] kama ya [[Ziwa Rukwa]].
== Historia ==
{{main|Historia ya Tanzania}}''(Kuhusu historia ya maeneo ya Tanzania kabla ya 1964 angalia makala za [[Tanganyika (nchi)|Tanganyika]], [[Zanzibar]] na [[Afrika ya Mashariki ya Kijerumani]])''
Jina "Tanzania" limeundwa kutokana na majina ya [[Tanganyika|TANganyika]] na [[Zanzibar|ZANzibar]] (pamoja na athira ya jina la kale la "[[
Nchi hizo [[mbili]] zilikuwa zote chini ya [[utawala]] wa [[Uingereza]] hadi kupata uhuru lakini hazikuwa ma[[koloni]] ya kawaida.▼
▲Jina "Tanzania" limeundwa kutokana na majina ya [[Tanganyika|TANganyika]] na [[Zanzibar|ZANzibar]] (pamoja na athira ya jina la kale la "[[Azania]]").
▲Nchi hizo mbili zilikuwa zote chini ya utawala wa [[Uingereza]] hadi kupata uhuru lakini hazikuwa ma[[koloni]] ya kawaida.
Zanzibar ilikuwa na hali ya [[nchi lindwa]] kutokana na mikataba kati ya ma[[sultani]] wa Zanzibar na [[Ufalme wa Muungano]] ([[Uingereza]]).
Tanganyika iliwahi kuwa sehemu ya [[Afrika ya Mashariki ya Kijerumani]] hadi [[Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia]] halafu ikawa chini ya Uingereza kama [[eneo la kudhaminiwa]] kutokana na azimio la [[Shirikisho la Mataifa]]
Tanganyika na Zanzibar zilikuwa nchi mbili tofauti hadi [[1964]], zilipoungana na kuwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Hapo kiongozi wa Tanganyika [[Mwalimu Julius Kambarage Nyerere]] alipata kuwa [[Rais]] wa kwanza na kiongozi wa [[mapinduzi]] ya Zanzibar [[Abedi Amani Karume]] akawa [[Makamu wa Kwanza wa Rais]].
Line 91 ⟶ 88:
Tarehe [[21 Desemba]] [[2005]] [[Jakaya Kikwete]] aliapishwa kuwa Rais wa nne wa taifa ([[2005]]-[[2015]]), naye aliendeleza sera za watangulizi wake akitokea chama hichohicho cha [[CCM]].
Tarehe [[5 Novemba]] 2015 aliapishwa rais wa awamu ya tano, [[John Magufuli]] (wa CCM vilevile).
==
Tangu muungano wa Tanganyika na Zanzibar kufanyika mwaka 1964 Tanzania imekuwa na miundo ifuatayo:
* Nchi inatawaliwa na [[serikali ya muungano]] ikitekeleza [[sheria]] zinazotolewa na [[bunge la Tanzania]].
Line 224 ⟶ 221:
== Watu ==
Watu wa Tanzania hawaenei sawasawa. Katika maeneo makavu sana, kwa wastani kuna mtu mmoja tu
Asilimia 70 hivi huishi [[kijiji|vijijini]].
Line 231 ⟶ 228:
Jamii nyingi za watu zimeishi na kushirikiana katika eneo la Tanzania bara kwa [[milenia]] nyingi.
Nyingi katika jamii zilizohamia sehemu hii ziliingia katika makundi madogomadogo kwa [[amani]], ingawa ziko zilizoingia kwa njia ya [[uvamizi]] na [[vita]]. Baadhi ya jamii zilizovamiwa zilijihami na kuwazuia wahamiaji wasiendelee kuteka maeneo mengine.
Kuna [[Orodha ya makabila ya Tanzania|makabila 125 hivi]].
Jambo la pekee kuhusu jamii zilizoishi na zinazoendelea kuishi Tanzania ni kwamba wakazi asili wanawakilisha makundi yote makuu manne
1. Idadi kubwa sana ya Watanzania ni wa jamii ya [[Wabantu]] (k.m. Wazaramo, Wagogo, Wasukuma, Wahaya, Wachaga, Wapare na Wapogoro).
2. Nje ya hao, kuna [[Waniloti]], kwa mfano [[Wamasai]] na [[Wajaluo]] ambao wengi wao zaidi wanaishi [[Kenya]].
3. Kundi lingine ni makabila ya [[Wakushi]] wanaoishi kaskazini mwa Tanzania; hao ni makabila ya [[Wairaqw]], [[Wafiome]] na [[Wasi]].
4. Kuna vikundi viwili vya [[Wakhoisan]] wanaofanana na makabila ya [[Botswana]] na [[Namibia]]; majina yao ni [[Wasandawe]] na [[Waburunge]].
Hatimaye kuna [[Wahadzabe]] wachache ambao [[utafiti]] wa [[DNA]] umeonyesha hivi karibuni wana uhusiano wa asili na [[Watwa]] wa nchi za [[Afrika ya Kati]].
Pia kuna asilimia ndogo ya watu wenye asili ya nje ya bara la [[Afrika]], kwa mfano [[Wahindi]], [[Waarabu]], [[Waindochina]], [[Wafarsi]], [[Wachina]] na [[Waingereza]]. Hii ilisababishwa na karne za mchanganyiko wa mahitaji ya biashara
=== Lugha ===
Line 257 ⟶ 254:
Nchini Tanzania kuna [[lugha]] za [[kabila|kikabila]] zaidi ya mia moja na ishirini, kwa kuwa kila kabila lina lugha yake.
[[Kiswahili]] ndiyo [[lugha ya taifa]] na inazidi kuwa [[lugha mama]] kwa [[watoto]] wengi, hasa mijini<ref>Concise Encyclopedia of Languages of the World. Elsevier. 2010. pp. 1026–. ISBN 978-0-08-087775-4.</ref>. Walau asilimia 90 za wakazi wanakitumia walau kama [[lugha ya pili]]. Kiswahili ni mojawapo kati ya [[lugha za
Baada ya [[uhuru]], [[Kiingereza]] (iliyokuwa lugha ya [[ukoloni|kikoloni]] kabla ya [[uhuru]]) iliendelea kutumika kwa mambo kadhaa rasmi na kwa [[elimu]] kuanzia [[sekondari]] ingawa sera mpya inataka Kiswahili kishike nafasi yake hadi [[chuo kikuu]]<ref>"Tanzania Ditches English In Education Overhaul Plan". AFK Insider. 17 February 2015. Retrieved 23 February 2015.</ref>; kwa hiyo ilichukuliwa kama lugha rasmi ya dhati pamoja na Kiswahili. Lakini utumizi rasmi wa Kiingereza umepungua katika milongo iliyopita, na sasa utumizi huu karibu umekwisha. Kwa hiyo siku hizi ni kawaida zaidi kuchukulia Kiswahili kama lugha rasmi ya dhati pekee.
[[Sera]] mpya ya elimu inakusudia kufanya Kiswahili kuwa [[lugha ya kufundishia]] katika ngazi zote kufikia mwaka [[2024]].
Line 316 ⟶ 309:
== Tazama pia ==
* [[Orodha ya Mawaziri Wakuu wa Tanzania]]
* [[Orodha ya Mawaziri Wakuu wa Zanzibar]]
|