Tanganyika : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 32:
 
Waingereza walihitaji jina jipya kwa ajili ya koloni hilo na tangu Januari [[1920]] wakaamua kuliita "Tanganyika Territory" kwa kutumia jina la [[ziwa]] kubwa upande wa mashariki ya eneo. <ref>[http://www.archive.org/stream/encyclopdiabri32newyrich#page/676/mode/2up/search/tanganyika Linganisha makala "Tanganyika Territory" katika Encyclopedia Britannica, 12th edition, vol 32, uk 676]</ref>
 
Katika [[Vita vikuu vya pili]], wananchi 100,000 hivi waliungana na [[jeshi]] la Uingereza<ref name="Heale">{{cite book|author1=Jay Heale|author2=Winnie Wong|title=Tanzania|url=https://books.google.com/books?id=9UhNJxHg14wC|year=2010|publisher=Marshall Cavendish|isbn=978-0-7614-3417-7}}</ref> wakiwa kati ya Waafrika 375,000.<ref name="MGT">[http://www.mgtrust.org/afr2.htm "African participants in the Second World War"]. mgtrust.org.</ref> Watanganyika walipiga vita katika vikosi vya [[King's African Rifles]] huko [[Somalia]], [[Uhabeshi]], [[Madagascar]] na [[Burma]].<ref name="MGT"/> Pia Tanganyika ilikuwa chanzo kikubwa cha [[chakula]]<ref name="Heale"/> Jambo hilo lilisababisha [[mfumuko wa bei]] usio wa kawaida.<ref>[http://www.content.eisa.org.za/old-page/tanzania-british-rule-between-wars-1916-1945 "Tanzania: British rule between the Wars (1916–1945)"]. ''eisa.org.za''.</ref>
 
== Uhuru na Muungano na Zanzibar ==