Tarakilishi mpakato : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Tarakilishi mpakato''' ni tarakilishi ambayo ni rahisi kubeba.Watumiaji wanaweza kuifunika kwa sababu ya bawaba zake ili kubeba kwa urahisi.'
 
No edit summary
Mstari 1:
'''Tarakilishi mpakato''' ni [[tarakilishi]] ambayo ni rahisi kubeba.Watumiaji wanaweza kuifunika kwa sababu ya [[bawaba]] zake ili kubeba kwa urahisi.
 
== Historia ==
[[Picha:Laptops in store 20170514.jpg|alt=tarakalishi mpakato|thumb|Tarakilishi mpakato]]
[[Tarakilishi|kompyuta]] mpakato ya kwanza ilivumbuliwa na muingereza mbunifu [[Bill Moggridge]] mwaka 1979.Shirika la mifumo ya GRiD lilimsaidia kuongeza ubunifu wake kwa kuweka bawaba.Mnamo mwaka 1982 Tarakilishi mpakato ziliuzwa sana kwa [[jeshi]] la [[Marekani]].