Ukame : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Drought.jpg|thumb|upright|Nyufa katika ardhi kutokana na ukame ([[Sonoran desert]], [[Mexico]]).]]
'''Ukame''' (kwa [[Kiingereza]] "Drought") ni [[hali ya hewa]] ya sehemu au mahali fulani inayofanya pakose [[maji]] ya kutosha kwa muda mrefu<ref>[http://www.independent.ie/irish-news/its-a-scorcher-and-ireland-is-officially-in-drought-29431138.html It's a scorcher - and Ireland is officially 'in drought'] Irish Independent, 2013-07-18.</ref>. Kwa kawaida hii inamaanisha kipindi ambako kuna [[mvua]] kidogo, au kupungukiwa kwa [[usimbishaji]] mwingine kama theluji.
 
KwaUkame kiasiunatokea kikubwapia ukamepale husababishwaambako watu na uharibifukilimo wawanategemea maji kwa [[Chanzoumwagiliaji]] na (mto)|vyanzo vingine vya maji]]. vinakauka.
 
Ukame unaweza kuhatarisha maisha ya mimea, wanayama na watu ambao wote wanahitaji maji.
 
 
==Matokeo ya ukame==
* hakuna maji ya kutosha kwa wakazi wa eneo fulani.
* mavuno yanapungua, bei za [[mazao]] yanapanda
* lishe ya wanyama inapungua, bei za [[nyama]], [[maziwa]] na bidhaa nyingine kutoka kwa wanyama zinapanda
* usafirishaji wa bidhaa kwenye [[njia za maji]] unapata matatizo kama maji mtoni na miferejini yanapungua mno
* uzalishaji wa [[umememaji]] unapungua kama hakuna maji ya kutosha tena kuendesha [[rafadha]]
* vituo vya umeme na viwanda ambavyo vinategemea maji ya mito kwa kupoza mashine zao haziwzi kueneela kwa nguvu; kiasi cha maji kinachopatikana kinapungua, na maji haya yanakuwa na halijoto ya juu zaidi kwa hiyo uwezo wa kupoza injini inapungua
* hatari na moto kwenye misitu na porini
* kukausha kwa mimea inaacha ardhi bila kinga, [[mmomonyoko]] unaongezeka
* dhoruba itabeba kiasi kikubwa cha mchanga na vumbi kwenye angahewa, hivyo kupeleka ardhi yenye rutba penginepo na kuongeza magonjwa ya [[mfumo wa upumuaji]] kutokana na vumbi hewani.
 
Pia unaweza kuwa ndio asili ya eneo hilo.
 
==Tanbihi==