Tarakilishi mpakato : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
'''Tarakilishi mpakato''' ([[:en:laptop computer]]) ni [[tarakilishi]] ambayo ni rahisi kubeba. Watumiaji wanaweza kuifunika kwa sababu ya [[bawaba]] zake ili kubeba kwa urahisi.
 
== Historia ==
[[Picha:Laptops in store 20170514.jpg|alt=tarakalishi mpakato|thumb|Tarakilishi mpakato]]
[[Tarakilishi|kompyuta]] mpakato ya kwanza ilivumbuliwa na muingerezaMwingereza mbunifu [[Bill Moggridge]] mwaka 1979. [[Shirika]] la mifumo ya GRiD lilimsaidia kuongeza ubunifu wake kwa kuweka bawaba.Mnamo mwaka 1982 Tarakilishi mpakato ziliuzwa sana kwa [[jeshi]] la [[Marekani]].
 
 
[[Jamii:Kompyuta]]