Ukame : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 4:
Ukame unatokea pia pale ambako watu na kilimo wanategemea maji kwa [[umwagiliaji]] na vyanzo vingine vya maji vinakauka.
Ukame unaweza kuhatarisha
==Matokeo ya ukame==
* hakuna maji ya kutosha kwa wakazi wa eneo fulani.
* [[mavuno]] yanapungua, [[bei]] za [[mazao]] yanapanda
* [[lishe]] ya wanyama inapungua, bei za [[nyama]], [[ziwa|maziwa]] na [[bidhaa]] nyingine
* usafirishaji wa bidhaa kwenye [[njia za maji]] unapata matatizo kama maji [[Mto|mtoni]] na miferejini yanapungua mno
* uzalishaji wa [[umememaji]] unapungua kama hakuna maji ya kutosha tena kuendesha [[rafadha]]
* vituo vya [[umeme]] na [[viwanda]] ambavyo vinategemea maji ya mito kwa kupoza [[mashine]] zao
* hatari
* kukausha kwa mimea inaacha ardhi bila kinga, [[mmomonyoko]] unaongezeka
* [[dhoruba]] itabeba kiasi kikubwa cha [[mchanga]] na vumbi kwenye angahewa, hivyo kupeleka ardhi yenye
==Tanbihi==
|