Dameski : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d →‎Mji Mkuu wa Syria huru: All info is kept in Wikidata, removed: {{Link FA|ar}} using AWB (10903)
Mstari 37:
== Jina ==
Nchini mji huitwa mara nyingi '''<big>الشام</big>''' ''("ash-shām")''. Jina hilo latumiwa na [[Waarabu]] wengine pia kwa nchi yote ya Syria. Kihistoria "[[Shamu]]" ilikuwa jina la nchi yote upande wa mashariki wa bahari ya [[Mediteranea]].
 
Haijulikani kutoka lugha gani jina la “Dameski” lilikujaa. Dameski inaitwa na waenyeji wake kwa jina la “Sham” pia au wakati nyingine “al Fayhaa” au "madinat al yasamin," kwa Kiarabu, yaani “Mji wa Yasimini.”
 
== Jiografia ==
Dameski iko takriban kilometa 80 mashariki ya pwani ya Mediteranea na kilometa 30 kutoka mpaka kati ya [[Syria]] na [[Lebanoni]] kando ya [[mto Barada]]. Iko kwenye kimo cha mita 680 [[juu ya UB]].
 
Upande wa magharibi ni [[milima ya Libanoni ndogo]] inayozuia mawingu yenye mvua kufika kutoka Mediteranea. Upande wa mashariki inaanza [[jangwa]]. Kati ya mji, kuna mito midogo mingi, na mto mkuu ni mto wa Barada.
 
Zamani, palikuwa na bustani nyingi sehemu zote za nchi. Lakini kwa sababu ya uchafuzi wa mazingira na idadi ya watu ambayo imekuwa inapanda , siku hizi bustani ni chache na pia hakuna maji mengi mitoni kwa mji.
 
Mji wa kisasa una eneo la 105 km2. Eneo la 77 km2  limetumiwa kwa majengo, makazi na mashamba, na eneo lililobaki ni mlima wa Qassioun.
 
=== '''Hali ya Hewa:''' ===
Kwa sababu ya milima ya Anti-Lebanon, kuna mvua chache mjini. Wakati wa baradi, kuna mvuva na theluji mara kwa mara. Wakati wa joto, hali ya hewa ni kavu na joto.
 
== Historia ==
Line 76 ⟶ 85:
 
Utawala wa Milki ya [[Waturuki]] Waosmani ulianza 1516 ukaendelea hadi 1918. Dameski ilijikuta tena mbali na mji mkuu wa milki huko [[Istanbul]]. Ilikuwa na umuhimu fulani kwa sababu misafara ya [[hija]] kwenda [[Maka]] ilianzia Dameski.
 
Mwaka 1516, kiongozi Mmisrowa Dameski alikimbia mji. Baada siku chache, Sultan Selim I alifika mjini akaweka mji juu ya Waosmani. Wakati ambapo Selim I alirudi Dameski, alijenga msikiti mpya, tekkiye (ni kama soko), na kaburi ya Shaikh Muhi al Din ibn Arabi mtaani kwa Al Salhiyeh.
 
Waosmani walitawala Dameski kwa muda ya miaka 400. Lakini baina mwaka 1832 na mwaka 1840 ilitawaliwa na Wamisri. Licha ya udogo wake na kwa sababu ya mahali kwake katika njia ya Hajj, Dameski ilikuwa mji muhimu kwa serikali ya Kiosmani. Mwaka 1560, Waosmani walijenga Tikkeyeh Suleymaniyeh ambapo wasafiri na wafanya Hajj waliweza kustarehe.
 
Wakati wa utawala wa Waosmani, Wayahudi na Wakristo wa Dameski walikuwa dhimmi (watu siyo Waislamu na walilazimisha kulipa kodi tofauti kuliko Waislamu) na waliweza kuendelea na dini zao.
 
Mwanzo wa karne ya 20, uwazo wa utaifa wa Kiarabu ulianza Dameski kwa sababu ya sheria kutoka Istanbul ambazo zilitumiwa zibadilishe Dameski “mji mturuki” zaidi. Utekelezaji wa watu wenye elimu mwaka 1915 na mwaka 1916 uliongeza uwazo huu wa utaifa wa Kiarabu. Mwaka 1918, Mapinduzi ya Waarabu alianza nchini kwa Syria na baada ya wakati chache, Waosmani waliondoka Syria na Waingereza walichukua nchi. Faisal ibn Hussein alikuwa mfalme mpya wa Syria. Mwaka 1920, serikali iliandika katiba mpya ya kidemokrasia. Lakini, mwaka 1920, Mkutano wa Versailles aliutoa Ufaransa nchi ya Syria kama ukoloni wake. Ufaransa uliingia Syria mwaka 1920.
 
Mwaka 1925, mapinduzi mapya ambayo ulianzishwa na Hauran (eneo la mashamba kusini ya nchi) yalifika Dameski. Wasyria walitaka uhuru wao. Lakini, Ufaransa ulitupa mabombu Dameski na waliacha mapinduzi. Wakati wa Vita Kuu ya Dunya II, Syria  jeshi la Ufaransa Uhuru na jeshi la Uingereza, walichukua Dameski. Baada ya Vita, Ufaransa ulitoa Syria uhuru na Dameski ilikuwa mji mkuu wa nchi mpya.
 
[[Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia]] ilivunja milki ya Waosmani ikaleta utawala wa [[Ufaransa]] katika Syria.