Anonymous user
Dameski : Tofauti kati ya masahihisho
no edit summary
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 103:
== Uchumi ==
Zamani, Dameski ulikuwa mji muhimu wa biashara. Mpaka sasa, biashara ni muhimu mjini. Kuna masoko na kampuni nyingi. Kwa sababu ya vita vya Syria, Dameski ni mji mkuu wa uchumi wa Syria.
Kuna viwanda vya serikali mjini. Lakini viwanda vya binafsi ni vichache. Kwa sababu ya vita, kuna sasa viwanda vichache kuliko zamani. Lakini kwa sababu ya kuntengwa kwa nchi kutokana na sababu mbalimbali na pia kwa sababu ya vita vya uraia, hakuna uchumi wenye nguvu. Kuna ufakiri wingi na ukosefu wa ajira.
== Taarifa za Wakazi ==
Mwaka wa 2011, idadi ya watu ilikuwa 1,711,000. Lakini, kuna miji midogo karibu sana na Dameski kama Duma, Harasta, Daraya, Jaramana, na Tal. Kwa jumla kuna watu zaidi 5 milioni wanaoishi kanda ya Dameski. Hasa, baada ya vita vya uraia, kuna watu wengi kuliko kila mahali kwa Syria waliohamia Dameski.
Dameski kuna mchanganyiko wa watu. Karibu watu wote ni Waarabu na Waislamu, hasa Wasunni. Lakini, kuna watu wakristo, waalawi, waarmenia, na kadhalika. Lugha nyingi zinazosemwa mjini ni kiarmenia, kiarabu, kifaransa, na kiaramaic. Zamani, palikuwa na wayahudi wengi mjini lakini waliondoka baada ya kuanzishwa kwa nchi ya Israel.
==Mji wa Kale na Utamaduni==
Mji wa Dameski wa Kale ni mji wa kipekeeduniani. Mji unajulikana kwa barabara ndogo zake, zinapopatikana masoko, makasri, misikiti, makanisa yake. Mji wa kale ni mchanganyiko wa magofu ya Warumi, Waosmani, and Wafaransa. Maisha ndani ya mji wa Dameski yafanana na maisha ya watu wa zamani.
=== Milango saba ya mji: ===
Bab al-Faradis
Mlango al-Salam
Bab Tuma
Bab Sharqi
Bab Kisan
Bab al-Saghir
Bab al-Jabiyeh
=== Makanisa maalum: ===
Kanisa la Mtakatifu Paul
Nyumba ya Mtakatifu Ananias
Kanisa la Kimarimia
Kanisa Katoliki la Kirumi
Kanisa la Mtakatifu John
Kanisa Ortodoks la Mtakatifu George
=== Misikiti Maalum ===
Msitiki wa Waomaya (Mahali ambapo ni kaburi ya Salaheddin, shujaa mwislamu maalum sana)
Msitiki wa Sayyida Ruqaya
Msikiti wa Sinaniya
Msikiti wa Toba
=== Khan (mahali ambapo wasafiri waliweza kustarehe) ===
Khan Jaqmaq
Khan Asaad Pasha
Khan Suleyman Pasha
=== Nyuma muhimu na Makasri ===
Kasri la Azem
Beit al-Aqqad
Maktab Anbar
Beit al-Mamlouka
==Elimu==
Dameski ni pahali pa elimu Syria. Chuo Kikuu cha Dameski ni chuo kikuu kikubwa na ya zamani zaidi nchini. Baada ya sheria, ambaye iliruhusu vyuo vikuu vya binafsi, kuna vyuo vikuu vipya kama: Syrian Virtual University, Chuo Kikuu cha Qalamoun, n.k.
==Usafirishaji==
Uwanja wa ndege mkuu ni Uwanja wa Ndege wa Dameski uko karibu na mji. Lakini, kwa sababu ya vita vya uraia, kuna ndege chache tu ambazo zinasafiri Dameski.
Hakuna huduma za usafirishaji kubwa. Kuna njia za basi ndogo. Wakazi wa mji wanategemea “microbus.” Microbus ni kama matatu ya Kenya au dala dala za Tanzania. Dameski, kuna njia zaidi ya mia moja ya microbus mjini. Microbus zinaenda kila mahali kwa mji.
Kuna pia shirika la “Chemin de Fer Syriens” ambalo ni shirika la treni. Lakini baada ya vita vya uraia, hakuna treni zo zote nchini.{{Mbegu-jio-Asia}}
[[Jamii:Miji ya Syria]]
|