Tofauti kati ya marekesbisho "Dameski"

684 bytes added ,  miaka 3 iliyopita
no edit summary
|colspan="2" align=center | [[Picha:Sy-map.png|300px|center]]
|}
'''Dameski''' (''pia: Damasko, Damaskus, Damascus; kutoka '' [[kiar.Kiarabu]]: '''<big>دمشق</big>''' ''"dimashk"'') ni [[mji mkuu]] wa [[Syria]], pia ni [[mji]] mkubwa wa nchi hiyo wenye wakazi [[milioni]] 4.5.
 
Dameski ni kati ya miji ya kale kabisa [[duniani]] iliyoendelea kukaliwa mahali palepale: inaaminiwa imekaliwa tangu miaka 8,000 au zaidi.
 
== Jina ==
Nchini mji huitwa mara nyingi '''<big>الشام</big>''' ''("ash-shām")''. [[Jina]] hilo latumiwa na [[Waarabu]] wengine pia kwa nchi yote ya Syria pia. [[Historia|Kihistoria]] "[[Shamu]]" ilikuwa jina la nchi yote upande wa [[mashariki]] wa [[bahari]] ya [[Mediteranea]].
 
Haijulikani kutoka [[lugha]] gani jina la “Dameski” lilikujaalilikuja. Dameski inaitwa na waenyejiwenyeji wake kwa jina la “Sham” pia au wakati nyinginemwingine “al Fayhaa” au "madinatMadinat al yasamin,Yasamin" kwa Kiarabu, yaani “Mji wa Yasimini.”
 
== Jiografia ==
Dameski iko takriban [[kilometa]] 80 mashariki yakwa [[pwani]] ya Mediteranea na kilometa 30 kutoka mpaka kati ya [[Syria]] na [[Lebanoni]] kando ya [[mto Barada]]. Iko kwenye [[kimo]] cha [[mita]] 680 [[juu ya UB]].
 
Upande wa [[magharibi]] ni [[milima]] ya Libanoni[[Lebanoni ndogoNdogo]] inayozuia [[mawingu]] yenyeya [[mvua]] kufika kutoka Mediteranea. Upande wa mashariki inaanzalinaanza [[jangwa]]. Kati ya mji, kuna mito midogo mingi, na mto mkuu ni mto wa Barada.
 
Kati ya mji, kuna [[mito]] midogo mingi, na mto mkuu ndio Barada. Zamani, palikuwa na [[bustani]] nyingi sehemu zote za nchi. Lakini kwa sababu ya [[uchafuzi wa mazingira]] na [[idadi]] ya [[watu]] ambayo imekuwa inapanda , siku hizi bustani ni chache na pia hakuna [[maji]] mengi mitoni kwa mji.
 
Mji wa kisasa una eneo la km2 105 km2. Eneo la 77 km2 77 limetumiwa kwa [[Jengo|majengo]], makazi na [[Shamba|mashamba]], na eneo lililobaki ni [[mlima wa Qassioun]].
 
=== Hali ya Hewahewa ===
Kwa sababu ya milima ya Anti-Lebanon, kuna mvua chache mjini. Wakati wa baradi[[baridi]], kuna mvuvamvua na [[theluji]] mara kwa mara. Wakati wa [[joto]], [[hali ya hewa]] ni kavu na joto.
 
== Historia ==
[[Akiolojia]] imeonyesha makazi ya kibinadamu[[binadamu]] katika eneo la Dameski tangu [[milenia]] ya 5 [[KK]].
 
=== Utawala wa Misri ===
Mji ulitajwa mara ya kwanza kimaandishi kwa jina la "Tamasqu" (tmsq) katika taarifa za [[Misri ya Kale]] wakati wa [[Farao]] [[Thutmosis III]] ([[1479 KK]] - [[1425 KK]]). Ilikuwa chini ya [[utawala]] wa [[Misri]] hadi mnamo mwaka [[1100 KK]].
 
=== Ufalme wa Aramu ===
Tangu [[1000 KK]] mji ukawa [[kitovu]] cha [[ufalme]] wa [[Aramu-Dameski]] unaotajwa pia mara nyingi katika [[Biblia]] pia. Baada ya kushindana mara nyingi na [[Israeli]] ulikwisha katika [[vita]] dhidi ya [[Assyria]] mwaka [[732 KK]].
 
=== Utawala wa Babeli, Uajemi, Wagiriki na Roma ===
Assyria ilishindwa na [[Nebukadreza II]] wa [[Babeli]] na Dameski ikawa sehemu ya [[milki ya pili ya Babeli]] tangu [[572 KK]].
 
Mwaka [[538 KK]], [[Uajemi]] iliPOchukuailipochukua nafasi ya Babeli, Dameski ikawa mji mkuu wa jimbo la Syria.
 
Kufika kwa [[Aleksanda Mkuu]] tangu [[333 KK]] kulibadilisha [[siasa]] ya [[Mashariki ya Kati]] na Dameski ikawa sehemu ya duniaulimwengu yawa [[Kigiriki]].
 
Wafuasi wa AleksanderAleksanda waliendelea kushindania mji huo baadaye: mara ukawa upande wa [[Waptolemayo]] (Misri) mara upande wa [[Waseleukido]].
 
Tangu 64 KK [[Dola la Roma]] likaingia Shamu. Dameski ikawa mji mkuu wa jimbo la Kiroma likakua na kustawi. Mpangilio wa Waroma yameonekana hadi leo katika mji wa Kale wa Dameski hata kama majengo ya nyakati zile yamefichwa mita 5 chini ya uwiano wa mji wa leo. Barabara ya [[decumanus]] ya Kiroma, ambayo imetajwa katika Biblia kama "barabara iliyonyoka" au "barabara iitwayo Nyofu" (Mdo 9,11), inaoonekana hadi leo.
 
Tangu [[64 KK]] [[Dola la Roma]] likaingia Shamu. Dameski ikawa mji mkuu wa jimbo la Kiroma likakua na kustawi. Mpangilio wa [[Warumi|Waroma]] yameonekana hadi leo katika mji wa Kalekale wa Dameski, hata kama majengo ya nyakati zile yamefichwa mita 5 chini ya uwiano wa mji wa leo. [[Barabara]] ya [[decumanus]] ya Kiroma, ambayo imetajwa katika Biblia kama "barabara iliyonyoka" au "barabara iitwayo Nyofu" ([[Mdo]] 9,:11), inaoonekanainaonekana hadi leo.
[[Picha:StJohnInUmmayad.jpg|thumb|250px|Maziara ya kichwa cha Yohane Mbatizaji ndani ya [[msikiti]] wa Muawiya inatembelewa na [[Waislamu]] na [[Wakristo]] vilevile.]].
[[Kaisari]] [[Theodosio I]] alijenga [[kanisa]] kubwa la Mt. Yohane lililotunza kichwa cha [[Yohane Mbatizaji]].
 
[[Picha:StJohnInUmmayad.jpg|thumb|250px|Maziara ya kichwa cha Yohane Mbatizaji ndani ya [[msikiti]] wa Muawiya inatembelewa na [[Waislamu]] na [[Wakristo]] vilevile]].
=== Waarabu na Waosmani ===
Dameski ilivamiwa na [[jeshi]] la [[Waarabu]] [[Waislamu]] chini ya [[khalifa]] [[Umar I]] mwaka [[636]] [[B.K.]]. Kanisa la Mt. Yohane likabadilihswalikabadilishwa kuwa [[msikiti mkuu. Baada ya ushindi wa [[Muawiyya]] mwaka 661 juu ya [[Hussain ibn Ali]] alichukua cheo cha khalifa akikaa Dameski. Hivyo mji ukawa mji mkuu wa milki ya [[Wamuawiya]] iliyotawala nchi kati ya [[Hispania]] hadi milango ya [[China]].
 
Baada ya [[ushindi]] wa [[Muawiyya]] mwaka [[661]] juu ya [[Hussain ibn Ali]] alichukua [[cheo]] cha khalifa akikaa Dameski. Hivyo mji ukawa mji mkuu wa [[milki]] ya [[Wamuawiya]] iliyotawala kutoka [[Hispania]] hadi milango ya [[China]].
Khalifa wa mwisho wa Wamuawiya [[Marwan II]] alihamisha makao yake kwenda [[Haran]] katika [[Mesopotamia]] ya [[kaskazini]]. Marwan alishindwa baadaye na [[Abu al-`Abbās `Abdu'llāh as-Saffāh]] aliyeanzisha utawala wa makhalifa [[Waabbasi]] na kupeleka mji mkuu [[Baghdad]]. Dameski haikurudishwahaikurudishiwa tena umuhimu na [[heshima]] jinsi ilivyokuwa wakati wa Wamuawiya.
 
Iliendelea kuwa maKao[[makao makuu]] ya kijimbo tu, isipokuwa kwa vipindi vifupi ilipokuwa mji huru tena, pasipokuwa napasipo utawala wenye nguvu ya makhalifa.
 
[[Salah-ad-Din]] aliweka mji tena mji chini ya utawala wa Misri hadi [[1516]]. Mnamo [[1400]] Dameski ilivamiwa na kuharibiwa kabisa na [[Timur]].
 
Utawala wa Milki ya [[Waturuki]] [[Waosmani]] ulianza [[1516]] ukaendelea hadi [[1918]]. Dameski ilijikuta tena mbali na mji mkuu wa milki huko [[Istanbul]]. Ilikuwa na umuhimu fulani kwa sababu misafara ya [[hija]] kwenda [[Maka]] ilianzia Dameski.
 
Mwaka 1516, kiongozi Mmisrowa Dameski alikimbia mji. Baada ya siku chache, Sultan[[Sultani]] [[Selim I]] alifika mjini akaweka mji juu ya Waosmani. Wakati ambapo Selim I alirudi Dameski, alijenga [[msikiti]] mpya, tekkiye (ni kama [[soko]]), na [[kaburi]] yala [[Shaikh Muhi al Din ibn Arabi]] [[mtaa|mtaani]] kwa Al Salhiyeh.
 
Waosmani walitawala Dameski kwa muda yawa miaka 400., Lakiniila baina mwakaya miaka [[1832]] na mwaka [[1840]] ilitawaliwa na [[Wamisri]]. Licha ya udogo wake, na kwa sababu ya mahali kwakepake katika njia ya [[Hajj]], Dameski ilikuwa mji muhimu kwa [[serikali]] ya Kiosmani. Mwaka [[1560]], Waosmani walijenga Tikkeyeh Suleymaniyeh ambapo wasafiri na wafanya Hajj waliweza kustarehe.
 
Wakati wa utawala wa Waosmani, [[Wayahudi]] na [[Wakristo]] wa Dameski walikuwawaliweza kuendelea na [[dini]] zao wakiwa [[dhimmi]] (watu siyowasio Waislamu na walilazimishawaliolazimisha kulipa [[kodi]] tofautikubwa kuliko ya Waislamu) na waliweza kuendelea na dini zao.
 
Mwanzo wa [[karne ya 20]], uwazowazo wala [[utaifa]] wa Kiarabu ulianzalilianza Dameski kwa sababu ya [[sheria]] kutoka Istanbul ambazo zilitumiwa zibadilishe Dameski iwe “mji mturuki”wa Kituruki” zaidi. Utekelezaji wa watu wenye [[elimu]] mwaka [[1915]] na mwaka [[1916]] uliongezaulikuza uwazohilo huuwazo wala [[utaifa wa Kiarabu]]. MwakaLakini 1918,[[Vita MapinduziKuu ya WaarabuKwanza alianzaya nchiniDunia]] kwa Syria nailivunja baada[[milki ya wakati chache, Waosmani]] waliondokaikaleta Syria na Waingereza walichukua nchi. Faisal ibn Hussein alikuwa mfalme mpyautawala wa Syria. Mwaka 1920, serikali iliandika katiba mpya ya kidemokrasia. Lakini, mwaka 1920, Mkutano wa Versailles aliutoa [[Ufaransa]] nchi yakatika Syria kama ukoloni wake. Ufaransa uliingia Syria mwaka 1920.
 
Mwaka [[1918]], [[mapinduzi]] ya Waarabu yalianza nchini Syria na baada ya muda mfupi, Waosmani waliondoka Syria na [[Waingereza]] walichukua nchi. [[Faisal ibn Hussein]] alikuwa [[mfalme]] mpya wa Syria. Mwaka [[1920]], serikali iliandika [[katiba]] mpya ya [[Demokrasia|kidemokrasia]]. Lakini, mwaka huohuo [[Mkutano wa Versailles]] aliutolea Ufaransa nchi ya Syria kama [[koloni]] lake. Hivyo Ufaransa uliingia Syria mwaka 1920.
Mwaka 1925, mapinduzi mapya ambayo ulianzishwa na Hauran (eneo la mashamba kusini ya nchi) yalifika Dameski. Wasyria walitaka uhuru wao. Lakini, Ufaransa ulitupa mabombu Dameski na waliacha mapinduzi. Wakati wa Vita Kuu ya Dunya II, Syria  jeshi la Ufaransa Uhuru na jeshi la Uingereza, walichukua Dameski. Baada ya Vita, Ufaransa ulitoa Syria uhuru na Dameski ilikuwa mji mkuu wa nchi mpya.
 
Mwaka [[1925]], mapinduzi mapya ambayo ulianzishwayalianzishwa na [[Hauran]] (eneo la [[Shamba|mashamba]] [[kusini]] yamwa nchi) yalifika Dameski. Wasyria walitaka [[uhuru]] wao. Lakini, Ufaransa ulitupa mabombu[[bomu|mabomu]] Dameski na waliacha mapinduzi. Wakati wa Vita Kuu ya Dunya II, Syria  jeshi la Ufaransa Uhuru na jeshi la Uingereza, walichukua Dameski. Baada ya Vita, Ufaransa ulitoa Syria uhuru na Dameski ilikuwa mji mkuu wa nchi mpya.
[[Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia]] ilivunja milki ya Waosmani ikaleta utawala wa [[Ufaransa]] katika Syria.
 
Wakati wa [[Vita vikuu vya pili vya dunia]] jeshi la [[Ufaransa huru]] na jeshi la Uingereza, walichukua Dameski. Baada ya [[vita]] hivyo, Ufaransa ulitoa uhuru kwa Syria na Dameski ikawa mji mkuu wa nchi mpya.
 
=== Mji Mkuu wa Syria huru ===
Uhuru wa Syria mwaka [[1946]] ulifanya Dameski mji mkuu wa nchi huru. Tangu hapo Dameski ikakua sana ikawa mji wa [[viwanda]] na [[biashara]].
Tangu hapo Dameski ikakua sana ikawa mji wa viwanda na [[biashara]].
 
== Uchumi ==
Zamani, Dameski ulikuwa mji muhimu wa biashara. Mpaka sasa, biashara ni muhimu mjini. Kuna masoko na [[kampuni]] nyingi. Kwa sababu ya [[vita vya wenyewe kwa wenyewe vya Syria]], Dameski ni mji mkuu wa [[uchumi]] wa Syria.
 
Kuna viwanda vya serikali mjini. Lakini viwanda vya binafsi ni vichache. Kwa sababu ya vita, kunatena sasa viwandani vichache kuliko zamani kwa sababu ya vita. Lakini kwa sababu ya kuntengwakutengwa kwa nchi kutokana na sababu mbalimbali na pia kwa sababu ya vita vya uraiawenyewe kwa wenyewe, hakuna uchumi wenye nguvu. Kuna ufakiri[[ufukara]] wingimwingi na ukosefu[[utovu wa ajira]].
 
== Taarifa za Wakazi wakazi==
Mwaka wa [[2011]], idadi ya watu ilikuwa 1,711,000. Lakini, kuna miji midogo karibu sana na Dameski kama [[Duma]], [[Harasta]], [[Daraya]], [[Jaramana]], na [[Tal]]. Kwa jumla kuna watu zaidi 5ya milioni 5 wanaoishi katika kanda ya Dameski. Hasa, baada ya vita vya uraiawenyewe kwa wenyewe, kuna watu wengi kuliko kila mahali kwapa Syria waliohamia Dameski. 
 
Dameski kuna mchanganyiko wa watu. Karibu watu wote ni  Waarabu na Waislamu, hasa [[Wasunni]]. Lakini, kuna watu wakristo,walio waalawiWakristo, waarmenia[[Waalawi]], [[Waarmenia]] na kadhalika. Lugha nyingi zinazosemwa mjini ni kiarmeniaKiarabu, kiarabu[[Kifaransa]], kifaransa,[[Kiarmenia]] na kiaramaic[[Kiaramu]]. Zamani, palikuwa na wayahudiWayahudi wengi mjini lakini waliondoka baada ya kuanzishwa kwa  nchi ya [[Israel]].
 
==Mji wa Kale na Utamaduni==
Mji wa Dameski wa Kale ni mji wa kipekeedunianipekee duniani. Mji unajulikana kwa [[barabara]] ndogo zake, zinapopatikana na masoko, [[kasri|makasri]], misikiti, makanisa yake. Mji wa kale ni mchanganyiko wa [[magofu]] ya Warumi, Waosmani, and Wafaransa. [[Maisha]] ndani ya mji wa Dameski yafananayanafanana na maisha ya watu wa zamani.
 
=== Milango saba ya mji: ===
Bab al-Jabiyeh 
 
=== Makanisa maalum: ===
Kanisa la Mtakatifu PaulPaulo
 
Nyumba ya Mtakatifu AnaniasAnania
 
Kanisa la Kimarimia
Kanisa Katoliki la Kirumi
 
Kanisa la Mtakatifu JohnYohane
 
Kanisa Ortodoksla Kiorthodoksi la Mtakatifu George 
 
=== Misikiti Maalummaalum ===
Msitiki wa Waomaya (Mahali ambapo nililipo kaburi yala Salaheddin, [[shujaa]] mwislamuMwislamu maalum sana)
 
Msitiki wa Sayyida Ruqaya
Khan Suleyman Pasha 
 
=== NyumaNyumba muhimu na Makasrimakasri ===
Kasri la Azem
 
 
==Elimu==
Dameski ni pahali pa elimu Syria. [[Chuo Kikuu cha Dameski]] ni [[chuo kikuu]] kikubwa na yacha zamani zaidi nchini. Baada ya sheria, ambaye iliruhusuiliyoruhusu vyuo vikuu vya binafsi, kuna vyuo vikuu vipya kama: Syrian Virtual University, Chuo Kikuu cha Qalamoun, n.k.
 
==Usafirishaji==
[[Uwanja wa ndege]] mkuu ni Uwanja wa Ndege wa Dameski ambao uko karibu na mji. Lakini sasa, kwa sababu ya vita vya uraia, kuna [[Ndege (uanahewa)|ndege]] chache tu ambazo zinasafiri Dameski.
 
Hakuna huduma kubwa za usafirishaji kubwa. Kuna njia za [[basi]] ndogo. Wakazi wa mji wanategemea “microbus.” Microbus ni kama matatu ya [[Kenya]] au dala dala[[daladala]] za [[Tanzania]]. Huko Dameski, kuna njia zaidi ya [[mia]] [[moja]] ya microbus mjini. Microbus zinaenda kila mahali kwa mjimjini.
 
Kuna pia shirika la “Chemin de Fer Syriens” ambalo ni shirika la [[treni]]. Lakini baada ya vita vya uraia, hakuna treni zo zotezozote nchini.{{Mbegu-jio-Asia}}
Hakuna huduma za usafirishaji kubwa. Kuna njia za basi ndogo. Wakazi wa mji wanategemea “microbus.” Microbus ni kama matatu ya Kenya au dala dala za Tanzania. Dameski, kuna njia zaidi ya mia moja ya microbus mjini. Microbus zinaenda kila mahali kwa mji.
 
{{Mbegu-jio-Asia}}
Kuna pia shirika la “Chemin de Fer Syriens” ambalo ni shirika la treni. Lakini baada ya vita vya uraia, hakuna treni zo zote nchini.{{Mbegu-jio-Asia}}
 
[[Jamii:Miji ya Syria]]