Syria : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 63:
==Historia==
[[File:Syrian women, Description de L'Universe (Alain Manesson Mallet, 1683) (cropped).jpg|thumb|right|[[Wanawake]] wa Syria, mwaka [[1683]].]]
KatikaNchi nyakatiilikaliwa zana kalewatu Siria ilikuwatangu [[kitovumilenia]] chanyingi. [[dola]]Ilipata lakuwa kwanzachini laya [[Waarabuutawala]] nawa [[mji mkuuMisri]] [[Dameski]]hadi ulikuwamnamo makaomwaka ya ma[[khalifa]]1100 [[WamuawiyaKK]].
 
=== Ufalme wa Aramu ===
Kabla ya mwaka [[1918]] ilikuwa sehemu ya [[Dola la Uturuki]].
Tangu mwaka [[1000 KK]] hivyo kulikuwa na [[ufalme wa Aramu]] unaotajwa mara nyingi katika [[Biblia]] pia, ukiwa na [[makao makuu]] mjini Dameski. Baada ya kushindana mara nyingi na [[Israeli]] ulikwisha katika [[vita]] dhidi ya [[Assyria]] mwaka [[732 KK]].
 
=== Utawala wa Babeli, Uajemi, Wagiriki na Roma ===
Kati ya [[Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia]] na [[uhuru]] ilikuwa [[nchi lindwa]] chini ya [[Ufaransa]] kwa niaba ya [[Shirikisho la Mataifa]]<ref name="WDL"/>.
Assyria ilishindwa na [[Nebukadreza II]] wa [[Babeli]] na Syria ikawa sehemu ya [[milki ya pili ya Babeli]] tangu [[572 KK]].
 
Mwaka [[538 KK]], [[Uajemi]] ilipochukua nafasi ya Babeli, Dameski ikawa mji mkuu wa jimbo la Syria.
Syria ya kisasa imepata kuwa nchi ya kujitawala kwa hatua mbalimbali tangu mwaka [[1936]] hadi kukamilisha [[uhuru]] wake mwaka [[1946]].<ref name="WDL">{{cite web |url = http://www.wdl.org/en/item/400/ |title = Report of the Commission Entrusted by the Council with the Study of the Frontier between Syria and Iraq |website = [[World Digital Library]] |date = 1932 |accessdate = 2013-07-11 }}</ref>
 
Kufika kwa [[Aleksanda Mkuu]] tangu [[333 KK]] kulibadilisha [[siasa]] ya [[Mashariki ya Kati]] na Syria ikawa sehemu ya [[ustaarabu]] wa [[Ugiriki ya Kale|Kigiriki]].
 
Tangu mwaka [[64 KK]] [[Dola la Roma]] likaingia Shamu. Dameski ikawa mji mkuu wa jimbo la Kiroma likakua na kustawi. [[Barabara]] na majengo ya nyakati zile za [[Warumi|Waroma]] yanaonekana hadi leo, kwa mfano barabara ya [[decumanus]], ambayo imetajwa katika [[Biblia ya Kikristo]] kama "barabara iliyonyoka" au "barabara iitwayo Nyofu" ([[Mdo]] 9:11).
[[Picha:StJohnInUmmayad.jpg|thumb|250px|Maziara ya [[kichwa]] cha [[Yohane Mbatizaji]] ndani ya [[msikiti]] wa Muawiya mjini Damasko yanatembelewa na [[Waislamu]] na [[Wakristo]] vilevile.]]
 
=== Waarabu na Waosmani ===
Syria ilivamiwa na [[jeshi]] la [[Waarabu]] [[Waislamu]] chini ya [[khalifa]] [[Umar I]] mwaka [[636]] [[B.K.]].
 
Baada ya [[ushindi]] wa [[Muawiyya]] mwaka [[661]] juu ya [[Hussain ibn Ali]] alichukua [[cheo]] cha khalifa akikaa Dameski. Hivyo mji ukawa mji mkuu wa [[milki]] ya [[Wamuawiya]] iliyotawala kutoka [[Hispania]] hadi milango ya [[China]].
Khalifa wa mwisho wa Wamuawiya [[Marwan II]] alihamisha makao yake kwenda [[Haran]] katika [[Mesopotamia]] ya [[kaskazini]]. Marwan alishindwa baadaye na [[Abu al-`Abbās `Abdu'llāh as-Saffāh]] aliyeanzisha utawala wa makhalifa [[Waabbasi]] na kupeleka mji mkuu [[Baghdad]].
 
[[Salah-ad-Din]] aliweka tena nchi chini ya utawala wa Misri hadi [[1516]], ambapo Milki ya [[Waturuki]] [[Waosmani]] ulianza kutawala ukaendelea hadi [[1918]], ila baina ya miaka [[1832]] na [[1840]] walipotawala [[Wamisri]].
 
Wakati wa utawala wa Waosmani, [[Wayahudi]] na [[Wakristo]] wa Dameski waliweza kuendelea na [[dini]] zao wakiwa [[dhimmi]] (watu wasio Waislamu na waliolazimisha kulipa [[kodi]] kubwa kuliko ya Waislamu).
 
Mwanzo wa [[karne ya 20]], wazo la [[utaifa]] wa Kiarabu lilianza Dameski kwa sababu ya [[sheria]] kutoka [[Istanbul]] ambazo zilitumiwa zibadilishe Dameski iwe “mji wa Kituruki” zaidi. Utekelezaji wa watu wenye [[elimu]] mwaka [[1915]] na mwaka [[1916]] ulikuza hilo wazo la [[utaifa wa Kiarabu]]. Lakini [[Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia]] ilivunja [[milki ya Waosmani]] ikaleta utawala wa [[Ufaransa]] katika Syria.
 
Mwaka [[1918]], [[mapinduzi]] ya Waarabu yalianza nchini Syria na baada ya muda mfupi, Waosmani waliondoka Syria na [[Waingereza]] walichukua nchi. [[Faisal ibn Hussein]] alikuwa [[mfalme]] mpya wa Syria. Mwaka [[1920]], serikali iliandika [[katiba]] mpya ya [[Demokrasia|kidemokrasia]]. Lakini, mwaka huohuo [[Mkutano wa Versailles]] aliutolea Ufaransa nchi ya Syria. Hivyo kati ya [[Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia]] na [[uhuru]] ilikuwa [[nchi lindwa]] chini ya [[Ufaransa]] kwa niaba ya [[Shirikisho la Mataifa]]<ref name="WDL"/>.
 
Mwaka [[1925]], mapinduzi mapya ambayo yalianzishwa na [[Hauran]] (eneo la [[Shamba|mashamba]] [[kusini]] mwa nchi) yalifika Dameski. Wasyria walitaka [[uhuru]] wao. Lakini, Ufaransa ulitupa [[bomu|mabomu]] Dameski na waliacha mapinduzi.
Syria ya kisasa imepata kuwa nchi ya kujitawala kwa hatua mbalimbali tangu mwaka [[1936]] hadi kukamilisha [[uhuru]] wake baada ya [[Vita vikuu vya pili vya dunia]] mwaka [[1946]].<ref name="WDL">{{cite web |url = http://www.wdl.org/en/item/400/ |title = Report of the Commission Entrusted by the Council with the Study of the Frontier between Syria and Iraq |website = [[World Digital Library]] |date = 1932 |accessdate = 2013-07-11 }}</ref>
 
Syria imetawaliwa na [[chama]] cha [[Baath]] tangu mwaka [[1963]]; tangu mwaka [[2000]] [[rais]] ni [[Bashar al-Assad]], aliyemrithi [[baba]] yake [[Hafez al-Assad]] aliyetawala kuanzia mwaka [[1970]].
 
Syria ilishiriki katika [[vita]] vya Waarabu dhidi ya [[Israel]]. Hivyo sehemu ya [[Mkoa wa Qunaytrah]] imekaliwa na Israel tangu mwaka [[1967]].
 
Tangu Machi [[2011]] nchi imeingia [[vita vya wenyewe kwa wenyewe]] vilivyoua watu zaidi ya 100,000 kufikia Septemba [[2013]] na kufanya wananchi [[milioni]] 9.5 kukimbia nyumba zao. Kati yao milioni 4 wako nje ya nchi. KwaWakati sasafulani [[nusu]] ya nchi imatawaliwailitawaliwa na [[DAESH]].
 
==Mikoa==