Tofauti kati ya marekesbisho "Dameski"

273 bytes added ,  miaka 2 iliyopita
no edit summary
|-
| '''Wakazi'''
| 1.580711.909000 (20062009)
|-
| '''Msongamano wa watu'''
|colspan="2" align=center | [[Picha:Sy-map.png|300px|center]]
|}
'''Dameski''' (''pia: Damasko, Damaskus, Damascus; kutoka '' [[Kiarabu]]: '''<big>دمشق</big>''' ''"dimashk"'') ni [[mji mkuu]] wa [[Syria]], pia ni [[mji]] mkubwa wa nchi hiyo wenye wakazi [[milioni]] 4.2, wanaofikia 5 pamoja na miji jirani.
 
Dameski ni kati ya miji ya kale kabisa [[duniani]] iliyoendelea kukaliwa mahali palepale: inaaminiwa imekaliwa tangu miaka 8,000 au zaidi.
 
Wafuasi wa Aleksanda waliendelea kushindania mji huo baadaye: mara ukawa upande wa [[Waptolemayo]] (Misri) mara upande wa [[Waseleukido]].
[[File:Bab Sharqi Street, Damascus.jpg|left|thumb|"Barabara iliyonyoka", [[Mtume Paulo]] alipobatizwa na [[Anania wa Damasko]].]]
Tangu mwaka [[64 KK]] [[Dola la Roma]] likaingia Shamu. Dameski ikawa mji mkuu wa jimbo la Kiroma likakua na kustawi. Mpangilio wa [[Warumi|Waroma]] yameonekanayanaonekana hadi leo katika mji wa kale wa Dameski, hata kama majengo ya nyakati zile yamefichwa mita 5 chini ya uwiano wa mji wa leo. [[Barabara]] ya [[decumanus]] ya Kiroma, ambayo imetajwa katika Biblia kama "barabara iliyonyoka" au "barabara iitwayo Nyofu" ([[Mdo]] 9:11), inaonekana hadi leo.
 
Tangu [[64 KK]] [[Dola la Roma]] likaingia Shamu. Dameski ikawa mji mkuu wa jimbo la Kiroma likakua na kustawi. Mpangilio wa [[Warumi|Waroma]] yameonekana hadi leo katika mji wa kale wa Dameski, hata kama majengo ya nyakati zile yamefichwa mita 5 chini ya uwiano wa mji wa leo. [[Barabara]] ya [[decumanus]] ya Kiroma, ambayo imetajwa katika Biblia kama "barabara iliyonyoka" au "barabara iitwayo Nyofu" ([[Mdo]] 9:11), inaonekana hadi leo.
[[Picha:StJohnInUmmayad.jpg|thumb|250px|Maziara ya kichwa cha Yohane Mbatizaji ndani ya [[msikiti]] wa Muawiya inatembelewa na [[Waislamu]] na [[Wakristo]] vilevile.]]
[[Kaisari]] [[Theodosio I]] alijenga [[kanisa]] kubwa la Mt. Yohane lililotunza kichwa cha [[Yohane Mbatizaji]].
 
Utawala wa Milki ya [[Waturuki]] [[Waosmani]] ulianza [[1516]] ukaendelea hadi [[1918]]. Dameski ilijikuta tena mbali na mji mkuu wa milki huko [[Istanbul]]. Ilikuwa na umuhimu fulani kwa sababu misafara ya [[hija]] kwenda [[Maka]] ilianzia Dameski.
 
MwakaNi kwamba mwaka 1516, kiongozi MmisrowaMmisri wa Dameski alikimbia mji. Baada ya siku chache, [[Sultani]] [[Selim I]] alifika mjini akaweka mji juu ya Waosmani. Wakati ambapo Selim I alirudi Dameski, alijenga [[msikiti]] mpya, tekkiye (ni kama [[soko]]), na [[kaburi]] la [[Shaikh Muhi al Din ibn Arabi]] [[mtaa|mtaani]] kwa Al Salhiyeh.
 
Waosmani walitawala Dameski kwa muda wa miaka 400, ila baina ya miaka [[1832]] na [[1840]] ilitawaliwa na [[Wamisri]]. Licha ya udogo wake, na kwa sababu ya mahali pake katika njia ya [[Hajj]], Dameski ilikuwa mji muhimu kwa [[serikali]] ya Kiosmani. Mwaka [[1560]], Waosmani walijenga Tikkeyeh Suleymaniyeh ambapo wasafiri na wafanya Hajj waliweza kustarehe.
Mwanzo wa [[karne ya 20]], wazo la [[utaifa]] wa Kiarabu lilianza Dameski kwa sababu ya [[sheria]] kutoka Istanbul ambazo zilitumiwa zibadilishe Dameski iwe “mji wa Kituruki” zaidi. Utekelezaji wa watu wenye [[elimu]] mwaka [[1915]] na mwaka [[1916]] ulikuza hilo wazo la [[utaifa wa Kiarabu]]. Lakini [[Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia]] ilivunja [[milki ya Waosmani]] ikaleta utawala wa [[Ufaransa]] katika Syria.
 
Mwaka [[1918]], [[mapinduzi]] ya Waarabu yalianza nchini Syria na baada ya muda mfupi, Waosmani waliondoka Syria na [[Waingereza]] walichukua nchi. [[Faisal ibn Hussein]] alikuwa [[mfalme]] mpya wa Syria. Mwaka [[1920]], serikali iliandika [[katiba]] mpya ya [[Demokrasia|kidemokrasia]]. Lakini, mwaka huohuo [[Mkutano wa Versailles]] aliutolea Ufaransa nchi ya Syria kama [[koloninchi lindwa]] lakechini ya [[Shirikisho la Mataifa]]. Hivyo Ufaransa uliingia Syria mwaka 1920.
 
Mwaka [[1925]], mapinduzi mapya ambayo yalianzishwa na [[Hauran]] (eneo la [[Shamba|mashamba]] [[kusini]] mwa nchi) yalifika Dameski. Wasyria walitaka [[uhuru]] wao. Lakini, Ufaransa ulitupa [[bomu|mabomu]] Dameski na waliacha mapinduzi.
Mwaka wa [[2011]], idadi ya watu ilikuwa 1,711,000. Lakini, kuna miji midogo karibu sana na Dameski kama [[Duma]], [[Harasta]], [[Daraya]], [[Jaramana]], na [[Tal]]. Kwa jumla kuna watu zaidi ya milioni 5 wanaoishi katika kanda ya Dameski. Hasa baada ya vita vya wenyewe kwa wenyewe, kuna watu wengi kuliko kila mahali pa Syria waliohamia Dameski. 
 
Dameski kuna mchanganyiko wa watu. Karibu watu wote ni Waarabu Waislamu, hasa [[Wasunni]]. Lakini, kuna watu walio Wakristo, [[WaalawiWakurdi]], [[Waarmenia]] na kadhalika.Wakristo Lughawengine nyingi zinazosemwa mjini ni Kiarabu,wa [[Kifaransamadhehebu]] mbalimbali, [[KiarmeniaWaalawi]], na [[Kiaramu]]kadhalika. Zamani, palikuwa na Wayahudi wengi mjini lakini waliondoka baada ya kuanzishwa kwa nchi ya [[Israel]].
 
Lugha nyingi zinazosemwa mjini ni pamoja na Kiarabu, [[Kifaransa]], [[Kiarmenia]] na [[Kiaramu]]. Zamani, palikuwa na Wayahudi wengi mjini lakini waliondoka baada ya kuanzishwa kwa nchi ya [[Israel]].
 
==Mji wa Kale na Utamaduni==
 
=== Misikiti maalum ===
[[Picha:StJohnInUmmayad.jpg|thumb|250px|Maziara ya kichwa cha Yohane Mbatizaji ndani ya [[msikiti]] wa Muawiya inatembelewa na [[Waislamu]] na [[Wakristo]] vilevile.]]
Msitiki wa Waomaya (Mahali lilipo kaburi la Salaheddin, [[shujaa]] Mwislamu maalum sana)
 
[[Uwanja wa ndege]] mkuu ni Uwanja wa Ndege wa Dameski ambao uko karibu na mji. Lakini sasa, kwa sababu ya vita, kuna [[Ndege (uanahewa)|ndege]] chache tu ambazo zinasafiri Dameski.
 
Hakuna huduma kubwa za usafirishaji. Kuna njia za [[basi]] ndogo. Wakazi wa mji wanategemea “microbus.” Microbus ni kama matatu ya [[Kenya]] au [[daladala]] za [[Tanzania]]. Huko Dameski, kuna njia zaidi ya [[mia]] [[moja]] ya microbus . Microbus zinaendazinazokwenda kila mahali mjini.
 
Kuna pia shirika la “Chemin de Fer Syriens” ambalo ni shirika la [[treni]]. Lakini baada ya vita vya uraia, hakuna treni zozote nchini.