Peter I wa Urusi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Peter der-Grosse 1838.jpg|thumb|right|200px|Tsar Peter I wa Urusi]]
'''Peter I wa Urusi''' (au '''Petro Mkuu''') alikuwa Tsar yaani [[Kaisari]] wa [[Urusi]]. [[Jina]] lake la [[Kirusi]] lilikuwa '''PyotrПётр AlekseyevitchАлексеевич RomanovРоманов''', ('''ПётрPyotr АлексеевичAlekseyevitch РомановRomanov'''). Alizaliwa tarehe [[9 Juni]] [[1672]] na kufariki tarehe [[8 Februari]] [[1725]]. Ndiye mtawala aliyeingiza Urusi, yenyeiliyokuwa na [[historia]] ya [[Asia|Kiasia]] zaidi, katika [[siasa]] na [[utamaduni]] wa [[Ulaya]].
 
PeterPetro Mkuu alianza [[utawala]] wake mwaka [[1689]] akiwa na [[umri]] wa miaka 17. Mwanzoni alilenga kuimarisha [[jeshi la Urusi]] na hasa [[wanamaji]]. Akiona ya kwamba [[fundi|mafundi]] wote wa kujenga [[meli]] walitoka Ulaya, hasa [[Uholanzi]], alifunga [[safari]] akakaa Uholanzi na kuwa [[mfanyakazi]] wa kujenga [[jahazi]] kwa miezi minne.
 
Aliporudi kutoka safari hii alikuwa na wazo la kwamba nchi yake Urusi ilikuwa nyuma sana kulingana na nchi za Ulaya, hivyo alianza mipango mingi ya kuleta [[maendeleo]] Urusi. Aliamuru waungwana wote kwenye [[ikulu|jumba la kifalme]] kukata [[ndevu]] zao na kuvaa [[nguo]] za Kizungu. Alialika mafundi na [[wataalamu]] wengi kutoka Ulaya.
Mstari 12:
Alibadilisha pia mfumo wa utawala wa [[Kanisa la Kiorthodoksi la Urusi]]. Aliondoa [[cheo]] cha [[Patriarka]] (Askofu Mkuu Kabisa) na badala yake aliunda [[ofisi]] ya [[Sinodi Kuu]] iliyokuwa [[mkono]] wa [[serikali]] yake.
 
{{Mbegu-mtumwanasiasa}}
 
[[Jamii:Waliozaliwa 1672]]
[[Jamii:Waliofariki 1725]]
[[Jamii:WatawalaMakaizari wa Urusi]]