Wasukuma : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Bundesarchiv Bild 105-DOA0044, Deutsch-Ostafrika, Einheimische Bevölkerung.jpg|thumb|right|[[Kijiji]] kimojawapo cha Wasukuma mwanzoni mwa [[karne ya 20]] ([[1906]] - [[1918]]).]]
'''Wasukuma''' ni [[kabila]] kubwa zaidi nchini [[Tanzania]]: linakadiriwa kufikia watu [[milioni]] 7, [[idadi]] inayowakilisha [[asilimia]] 16 ya wakazi wa nchi kwa ujumla.
 
Mstari 5:
Jina "Wasukuma" lina maana ya watu wa upande wa "[[kaskazini]]", lakini maana hii haiwakilishi maana halisi ambayo watu wengi huitafsiri kwa mfano Wasukuma hutumia alama ya utambulisho ([[dira]]) kwa eneo fulani kwa viashirio vya makabila, kwa mfano wa jina kama hili: ''Kiya''. Hili lina maana ya [[mashariki]] ambako ni [[maawio]] ya [[jua]]. Huu ni utambulisho ambao haukufananishwa ama kuitwa kwa jina la kabila fulani. Mfano mwingine ni upande wa "Dakama" ambapo yatambulisha kama eneo la Unyamwezi lakini zaidi ya mpanuko wake ni upande wa "kusini". Zaidi ya hapo neno hili hutumiwa sana na kabila la [[Wanyamwezi]] ili kutambulisha eneo la Wasukuma ambapo Wasukuma nao husema "dakama". Upande mwingine ambao unapewa alama ya utambulisho ni "Ushashi" maana yake ni upande wa kabila la [[Washashi]] na neno hili Washashi ni mkusanyiko wa makabila ya [[mkoa wa mara]], japo pia neno hili "shahi" linamaanisha kabila la [[Wakurya]] ambalo pia mpanuko wake unakomea hapo, ambapo zaidi ya hapo eneo zima la upande huo unamaanisha upande wa kaskazini. Upande wa mwisho kutambulishwa ni "Ngw’eli", neno hili halikupewa kabila na badala yake linawakilisha upande wa magharibi (dira), ambako ni [[machweo]] ya jua. "Wasukuma wenyewe hulirejea jina hili kama "Basuguma" kwa wingi na "Nsuguma" kwa umoja.
 
Vilevile Wasukuma wamegawanyika katika makundi makuu manne ambayo ni Wasukuma wa [[Bariadi]] na [[Meatu]] [Wanyantuzu], Wasukuma wa [[Mwanza]] na [[Maswa]] [Wasumau], Wasukuma wa [[Tabora]] [Wadakama] na Wasukuma mchanganyiko kutoka [[Kahama]] na Tabora (hawa wakienda Tabora wanaambiwa ni Wasukuma, wakienda sehemu za Ntunzu wanaambiwa ni Wanyamwezi. Wako mchanganyiko na [[Wasumbwa]], Wasukuma halisi na Wanyantuzu.
MWENDELEZO NA FAUSTINE GIMU GALAFONI, KUTOKA KAHAMA.
 
0687 384 315 AU 0656 931 121
 
Vilevile wasukuma wamegawanyika katika makundi makuu manne ambayo ni WASUKUMA wa Bariadi na Meatu[WANYANTUZU],WASUKUMA wa Mwanza na Maswa [Wasumau] ,Wasukuma wa Tabora [wadakama] na wasukuma mchanganyiko kutoka KAHAMA na TABORA.
 
KUMBUKA ;Wasukuma mchanganyiko wakienda TABORA wanaambiwa wasukuma ,wakienda sehemu za Ntunzu wanaambiwa ni wanyamwezi.Wako mchanganyiko na wasumbwa,wasukuma halisi,na wanyantuzu.
 
==Eneo==
Line 26 ⟶ 20:
===Maeneo yaliyo na madini===
Wasukuma wamezungukwa na madini mbalimbali. Yafuatayo ni maeneo yaliyo na madini:
*1. [[Mwadui]] (Huku kuna madini ya almasi ambayo kwa kiwango kikubwa huipatia [[serikali]] [[pesa za kigeni]])
*2. [[Maganzo]] (Vilevile eneo hili limewekwa kwa ajili ya [[wachimbaji wadogowadogo]] wa almasi, eneo hili liko magharibi ya Mwadui.)
*3. Buzwagi (Kahama)
 
*4. Bulyanhulu (Kahama)
mwenelezo na FAUSTINE GIMU GALAFONI
*5. Geita
 
*6. Nyangalata (Kahama).
Vilevile kuna migodi ya BUZWAGI Kahama,BULYANHULU Kahama,Geita Gold Mine Mkoani Geita,Nyangalata Kahama.
 
==Shughuli za kiuchumi==