Tofauti kati ya marekesbisho "Maradhi ya zinaa"

95 bytes added ,  miaka 4 iliyopita
 
=== Klamidia ===
 
[[Picha:Pap smear showing clamydia in the vacuoles 500x H&E.jpg|thumb|300px|right|Vijududu vinavyosababisha klamidia.]]
'''[[Klamidia]]''' ni [[ugonjwa wa kuambukiza]] ambao husababishwa na [[bakteria]] zinazoitwa na [[sayansi]] kama ''Chlamydia trachomatis''.
 
[[Ugonjwa]] huuhuo huwa hauonyeshi [[dalili]] za wazi kwa karibia [[asilimia]] 75 ya [[wanawake]] na asilimia 50 ya [[wanaume]], hivyo maambukizi mengi hushindwa kufahamika mapema.
'''[[Klamidia]]''' ni [[ugonjwa wa kuambukiza]] ambao husababishwa na [[bakteria]] zinazoitwa na [[sayansi]] kama ''Chlamydia trachomatis''.
 
[[Ugonjwa]] huu huwa hauonyeshi [[dalili]] za wazi kwa karibia asilimia 75 ya [[wanawake]] na asilimia 50 ya [[wanaume]], hivyo maambukizi mengi hushindwa kufahamika mapema.
 
Kulingana na [[wakala]] wa [[afya]] wa [[Marekani]] (''Centers for Disease Control and Prevention'') ndiyo ya kwanza kati ya [[maradhi ya zinaa]] yanayoripotiwa zaidi nchini humo: [[wataalamu]] wamekisisawamekisia kuwa karibia watu [[milioni]] [[tatu]] huambukizwa klamidia kila [[mwaka]], lakini kulingana na CDC, ni [[maambukizi]] 660,000 tu ndiyo ambayo huripotiwa.
 
Watu ambao hawafahamuhawajafahamu kuwa wameambukizwa klamidia wanaweza wasitafute [[tiba]] na hivyo wakaendelea kufanya [[ngono]], bila ya kujua kuwa wanaeneza [[ugonjwa]].
 
Wakati dalili zinapoanza kujitokeza wanaume husikia [[maumivu]] wakati wa kukojoa au kutokwa [[usaha]] katika [[uume]]. Wanawake wanaweza kutokwa [[damu]] nje ya kipindi chao, maumivu wakati wa kukojoa, kutokwa [[usaha]] katika [[uke]], au maumivu chini ya [[kitovu]].
 
Kama utaachwa bila kutibiwa katika wanawake, klamidia unawezainaweza kuleta madhara makubwa kwa [[afya]] ya binafsi na [[afya ya jamii|ya jamii]]. Klamidia huaribu [[tishu]] za [[uzazi]] za mwanamke na kusababisha [[uvimbe]] katika [[fupanyonga]] (''pelvic inflammatory disease'', PID). PID inaweza kusababisha mauvimu makali sana katika fupanyonga, [[utasa]]/ugumba au utata katika [[ujauzito]] ambao unaweza kusababisha [[kifo]].
 
[[Watoto]] waliozaliwa na [[mama]] waliombukizwaaliyembukizwa klamidia huwa na hatari ya kupata [[upofu]] au maambukizi katika [[mapafu]].
 
[[Uchunguzi]] wa maambukizi ya klamidia hufanyika kwa kuchunguza [[fupanyonga]] na kiwango kidogo cha majimaji kutoka katika [[uke]] au [[uume]] ambayo huchunguzwa kwa uwepo wa ''Chlamydia trachomatis''.
 
Uchunguzi mpya kama ule wa [[mkojo]] ili kufahamu uwepo wa bakteria wa klamidia umekuwa ukitumika pia ili kufanya uchunguzi rahisi zaidi mwawa watu ambao hawaonyeshi dalili za ugonjwa.
 
Klamidia inatibika kwa [[antibaotiki]].