Maradhi ya zinaa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 62:
 
=== Kisonono ===
'''Kisonono''' au Kisalisali ni [[maradhi ya zinaa]] ambayo husababishwa na [[bakteria]] zinazofahamika kisayansi kama ''Neisseria gonorrhoeae''. Bakteria hizo hushambulia [[utandotelezi]] unaozunguka [[sehemu za siri]].
 
Ingawa kwa makisio maambukizi 360,000 ya kisonono huripotiwa kila mwaka nchini [[Marekani]], wataalamu wamekisia kuwa watu karibia 650,000 huambukizwa kwa mwaka. Kimataifa yanakadiriwa kuwa kati ya milioni 33 na 106 kwa mwaka. Wagonjwa ni 0.8% ya [[wanawake]] wote na 0.6% ya [[wanaume]] wote.
'''Kisonono''' ni [[maradhi ya zinaa]] ambayo husababishwa na [[bakteria]] zinazofahamika kisayansi kama ''Neisseria gonorrhoeae''. Bakteria hizo hushambulia utandotelezi unaozunguka [[sehemu za siri]].
 
Ingawa kwa makisio maambukizi 360,000 ya kisonono huripotiwa kila mwaka nchini [[Marekani]], wataalamu wamekisia kuwa watu karibia 650,000 huambukizwa kwa mwaka.
 
Kama ilivyo [[klamidia]], kisonono nayo huwa haionyeshi [[dalili]]. Kisonono ikiwepo huwa na dalili kama zile za [[klamidia]] ambazo huhusisha mauvimu wakati wa kukojoa na kutokwa kwa [[maji]] yanayonuka au [[usaha]] katika [[uke]] au [[uume]].
 
Kisonono huonekana kwa urahisi kwa wanaume ambao hutoa [[usaha]] kutoka katika [[mfereji wa mkojo]] (''urethra''). Huanza kidogo, lakini huongezeka na huwa mwingi na kusababisha kusikia haja ya kukojoa mara kwa mara huku kukiwa na maumivu.
 
Kisonono ikisambaa na kufikia ''[[prostatetezi kibofu]]'', mfereji wa mkojo huziba kwa kiasi fulani. Kwa wanawake maambuki hutokea katika [[urethra]], [[uke]] au [[mlango wa uzazi]] (''cervix''). Ingawa mwasho unaotokana na majimaji katika uke unaweza kuwa mkubwa, mara nyingi dalili hizi huwa ni chache au hamna kabisa katika hatua za awali.
 
Kisonono isiyotibiwa inaweza kusababisha PID (''Pelvic Infiammatory disease'') kwa wanawake. [[Watoto]] wanaozaliwa na mama wenye kisonono huwa na hatari ya kuambukizwa wakati wa kuzaliwa; maambukizo haya yanaweza kusababisha magonjwa ya [[meno]] kwa wachanga.
 
Uchunguzi wa ugonjwa hufanywa kwa kuchungunza usaha kutoka katika uke au uume au mkojo kwa uwepo wa ''Neisseria gonorrhoeae''.
 
Kisonono iliongezeka kwa kiasi kikubwa [[Marekani]] mnamo [[miaka ya [[1970]] na mwanzoni mwa [[miaka ya [[1980]], hadi kukaribia kufikia kiwango cha [[magonjwa ya mlipuko]] (''epidemic proportions'') kwa [[vijana]] [[balehe|wanaobalehe]] na watu wa [[umri wa kati]].
 
[[Kisonono]] hutibiwa kwa [[antibaotiki]] kadhaa, ingawa maambukizi yamekuwa na ukinzani juu ya tiba ya baadhi ya madawa katika miongo ya nyuma.
 
Kisonono hutibiwa kwa [[antibiotiki]] kadhaa, ingawa maambukizi yamekuwa na ukinzani juu ya [[tiba]] ya baadhi ya madawa katika miongo ya nyuma. Moja kati ya mambo magumu katika kupambana na [[kisonono]] ni kutafuta mahusiano yote ya kimapenzi ya nyuma ya aliyeambukizwa ili kuweza kuzuia usambaaji zaidi wa ugonjwa.
 
=== Kaswende ===