Protista : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 1:
[[Picha:Protist collage.jpg|thumbnail|300px|Protista]]
'''Protista''' ni kundi la [[viumbehai]]
[[Jina]] la Protista lilibuniwa na [[Ernst Haeckel]] mnamo [[1866]].
Mifano ya protista ni [[algae]] (viani), [[amiba]] na aina za [[kuvu]]. Vilivyo vingi huishi baharini au ndani ya viumbe vingine; kwa hiyo vingine vinaonekana kama chanzo cha magonjwa. Protisti nyingi ni sehemu a [[planktoni]] na hivyo muhimu sana kwa [[ekolojia]] ya uhai duniani.▼
▲Mifano ya protista ni: [[algae]] (viani), [[amiba]] na aina za [[kuvu]].
Zamani vilihesabiwa kama himaya ya pekee ndani ya [[eukaryota]] lakini siku hizi hujumlishwa pamoja na himaya mbalimbali. Jina hili linakusanya vidubini vyenye tabia tofautitofauti, pamoja na vyenye uwezo wa kujenga lishe yao kwa njia ya [[usanisinuru]] na nyingine zinazotegemea mata ogania kama lishe.▼
Protisti chache zinasababisha magonjwa kwa mfano protisti anayejulikana kwa jina la ''[[Plasmodium]] falciparum'' inasababisha [[malaria]];[[ugonjwa wa malale]] unatokana na protisti ya ''[[trypanosoma]] brucei''.▼
▲Zamani
▲Protisti
== Marejeo ==
{{Reflist}}
{{mbegu-biolojia}}
[[Category:Protista| ]]
[[Category:
|