Zoolojia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
dNo edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Animal diversity.png|thumbnail|Aina nyingimbalimbali za wanyama.]]
'''Zoolojia''' (tamkakutoka zo-o-lo-jia,[[neno|maneno]] kutokaya [[Kigiriki|gir.]] ζῷον ''zóon'' "mnyama, kiumbe hai" na λόγος ''logos'', "neno, fundisho“) ni [[tawi]] la [[biolojia]] linalochunguza [[wanyama]], hasa wanyama wenye [[seli]] nyingi ([[metazoa]]).
 
Zoolojia linatumia [[mbinu]] mbalimbali za [[sayansi|kisayansi]] likichungulia [[maumbile]] na [[mwili|miili]] ya wanyama, michakato ndani ya miili, [[historia]] ya [[mageuko ya spishi]] za wanyama, [[jenetiki]] yao, usambazajiuenezi wao katika maeneo ya [[dunia]], uhusiano wao na [[mazingira]] ([[ekolojia]]) na jinsi gani wanyama wanahusiana kati yao. Zoolojia imeunda mfumo wa kupanga wanyaa wote kwa vikundi ([[uainishaji wa kisayansi]]) na kuendelea utaratibu huu.
 
Zoolojia imeunda mfumo wa kupanga wanyama wote kwa vikundi ([[uainishaji wa kisayansi]]) na kuendeleza utaratibu huu.
Wanazoolojia kwa kawaida hufuata masomo ya biolojia na kwenye ngazi za juu zinaweka mkazo upande wa elimu ya wanyama. Wanafanya kazi kwenye vyuo vikuu, katika maabara ya makampuni ya madawa, katika bustani za [[zoo]] au katika makumbusho.
 
Wanazoolojia kwa kawaida hufuata masomo ya biolojia na kwenye ngazi za juu zinaweka mkazo upande wa [[elimu]] ya wanyama. Wanafanya kazi kwenye [[vyuo vikuu]], katika [[maabara]] ya [[kampuni|makampuni]] ya [[madawa]], katika [[bustani]] za [[zoo]] au katika [[makumbusho]].
== Viungo vya Nje ==
 
{{wiktionarycat|type=zoology|category=Zoology}}
== Viungo vya Njenje ==
*{{commonscat-inline}}
 
{{mbegu-biolojia}}
 
[[Category:Biolojia| ]]
 
[[Category:Biolojia| ]]
 
<!-- interwiki -->