Antibiotiki : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Kipala alihamisha ukurasa wa Antibaotiki hadi Antibiotiki: Kamusi ya Tiba
No edit summary
Mstari 1:
'''AntibaotikiAntibiotiki''' (kutoka [[Kiingereza]] ''antibiotics'', mara nyingine '''Kiua VijasumuKiuavijasumu'''<ref>Antibiotiki na kiuavijasumu ni istilahi zinazopendekezwa katika [[Kamusi ya Tiba]]</ref>) ni [[kemikali]] ambazo hutumika kuua au kuzuia ukuaji wa [[vijidudubakteria]] vinavyosababishazinazosababisha [[magonjwa]].
 
Mwanzo neno ''antibaotikiantibi otiki'' lilitumika kuelezea kemikali zinazotengenezwa na [[bakteria]] au kalibu[[kuvu]], ambazo ni [[sumu]] kwa [[viumbehai]] wengine. Kwa sasa [[neno]] linatumika kujumuisha [[kampaundi za oganikiogania]] (kemikali za [[kaboni]] zinazopatikana katika viumbehai) zinazotengenezwa na zile zinazopatikana kwa kuchanganya asilia na bandia.
 
AntibaotikiAntibiotiki nyingi huwa ni sumu kwa bakteria; hata hivyo, kwa kuwa neno limekuwa likitumika pia kuelezea [[madawa]] ambayo hutumika kuzuia magonjwa kama [[malaria]], na yale yanayosabibishwa na [[virusi]] au [[protozoa]]. AntibaotikiAntibiotiki zote zina tabia ya kuwa na uchaguzi inapotumika kama sumu. Zinakuwa hatari sana kwa viumbe vinavyoingia ndani ya kiumbe kingine kuliko vile zinavyokuwavinavyokuwa ndani ya [[mnyama]] au [[binadamu]] ambaye hutumia kama [[tiba]].
 
[[Penicillin]] ni miongoni mwa antibaotikiantibiotiki zinazofahamika sana na imekuwa ikitumika kupambana na magonjwa mengi ya kuambukiza kama vile [[kaswende]], [[kisonono]] na [[pepopunda]]. AntibaotikiAntibiotiki nyingine, ''[[streptomycin]]'' imekuwa inatumika kupambana na [[kifua kikuu]].
 
[[Picha:Penicillin.jpg|thumb|300px|right|Madawa ya antibaotikiantibiotiki]]
 
== Historia ==
Mwanzoni mwa [[Miaka ya 1900|muongo wa kwanza]] wa [[karne ya 20]], [[mwanasayansi]] [[Mjerumani]] [[Paul Ehrlich]] alianza majaribio na kampaundi za oganiki ambazo zingeweza kupambana na vijidudu vya magonjwa ya kuambukiza bila kumuumiza/kuathiri mwili wa kiumbe chenye ugonjwa. Majaribio yale yalipelekea katika mwaka [[1909]] kutengenezwa kwa ''[[salvarsan]]'', dawa iliyokuwa na [[arsenic]], ambao ilikuwa na tabia chaguzi juu ya ''[[spirochetes]]'', bakteria wanaosababisha [[kaswende]]. ''Salvarsan'' iliendelea kuwa matibabu pekee kwa [[kaswende]] mpaka ilipokuja [[penicillin]] katika miaka ya [[1940]].
 
Mnamo [[miaka ya 1920]], Sir [[Alexander Fleming]] ambaye baadaye aligundua penicillin, aliona kitu kinachoitwa ''lysozyme'' katika misusumo mingi ya mwili kama vile [[machozi]] na [[jasho]], na katika mimea na wanyama fulani. Lysozyme ilikuwa na tabia zinazofanana na antibaotikiantibiotiki nyingi, lakini haikuwa na manufaa kimatibabu.
 
AntibaotikiAntibiotiki ya kwanza kutumiwa kama matibabu na kufanikiwa ilikuwa ni ''[[tyrothricin]]'', ambayo ilitolewa kutoka katika bakteria fulani wa udongoni na mwanasayansi [[Rene Dubos]] mnamo mwaka [[1939]]. Kemikali hii ni sumu kali kwa matumizi ya kawaida lakini inatumika kwa matibabu ya nje (kiingereza ''external treatment'') ya maambukizi fulani. AntibaotikiAntibiotiki zingine zilizongenezwa na bakteria wa udongoni ziitwazo ''[[actinomycetes]]'' zimefanikiwa sana. Mojawapo ni ''streptomycin'', iliyogunduliwa mwaka [[1944]] na [[Selman Waksman]] pamoja na washirika wake, ambayo wakati wa kipindi chake ilikuwa ndiyo tiba kubwa ya [[kifua kikuu]].
Tangu antibaotikiantibiotiki zilipokuwa zinatumika kwa matumizi ya kawaida katika miaka 1950 zimeleta mabadiliko makubwa. Magonjwa mengi ambayo mwanzoni yalikuwa yanaongoza katika kusababisha vifo kama vile [[kifua kikuu]], [[kichomi]] na ''[[septicemia]]'' yalianza kudhibitiwa. Shughuli za upasuaji pia ziliboreshwa kwa sababu shughuli ingeweza kufanyika kwa muda mrefu bila uwezekano wa maambukizi.
 
== Aina za AntibaotikiAntibiotiki ==
Kuna antibaotikiantibiotiki nyingi sana kwa matumizi mbalimbali. Zifuatazo ni baadhi ya antibaotikiantibitiki maarufu na baadhi ya matumizi yake kiafya.
 
=== Penicillin ===
[[Picha:Penicillin_core.svg|thumb|300px|left|Penicillin ni antibaotikiantibiotiki ya kwanza ya asili kugunduliwa na Alexander Fleming]]
[[Penicillin]] ni madawa yanayozuia ukuaji wa vijidudu (kiingereza bactericidal), ambayo hasa huzuia utengenezaji wa ukuta wa seli. Penicillin inafahamika sana kwa kuzuia utengenezaji wa ''polymer'' za ''peptidoglycan'' katika kuta za seli ya bakteria na huwa na ufanisi wakati kijidudu kinapotengeneza ukuta wa seli mpya (yaani wakati kinakua). Kuna aina nne za penicillins: ''[[penicillin-G]]'' za spektra nyembamba, ''[[ampicillin]]'' na aina zake, ''[[penicillinase-resistant]]'', penicillins kinzani kwa ''penicillianase'' (vimeng’enyo vinavyotolewa na bakteria fulani ili kuondo uwezo wa penicillin kutibu, na kupelekea kuwa sugu kwa antibaotikiantibiotiki hiyo), na penicillin za spektra iliyopanuka ambazo ni mahususi kupambana na ''pseudomonas''.
 
Penicillin-G zinatumika kutibu magonjwa kama vile [[kaswende]], [[kisonono]], [[homa ya uti wa mgongo]], [[kimeta]] na [[buba]]. Nyingine inayohusiana naye, [[Penicillin V]] inaweza kufanya kazi sawa lakini siyo madhubuti. ''[[Ampicillin]]'' na ''[[amoxicillin]]'' zina uwezo kama ule wa penicillin-G, lakini zina spectra pana zaidi inayohusisha bakteria wa gram hasi (gram-negative bacteria).
Mstari 32:
 
=== Aminoglycosides ===
''Streptomycin'' ni ''[[aminoglycosides]]'' ya siku nyingi sana. Aminoglycosides zinazuia utengenezaji wa [[protini]] ya [[bakteria]] katika bakteria wengi wa gram hasi (gram-negative bacteria) na baadhi ya bakteria wa gram chanya (gram-positive bacteria). Kuna wakati mwingine hutumika pamoja na [[penicillin]]. Aminoglycosides nyingi huwa ni sumu kali kuliko antibaotikiantibiotiki zingine.
 
Madhara ambayo yanatokana na utumiaji wa aminoglycosides kwa muda mrefu ni kuharibika kwa eneo linalohusika na msawazo katika [[sikio]], ukiziwi na madhara ya [[figo]].
 
=== Tetracyclines ===
[[Tetracyclines]] huzuia utengenezaji wa [[protini]] za [[bakteria]]. Zenyewe ni antibaotikiantibiotiki za spektra iliyopanuka madhubuti kupambana na aina mbalimbali za ''streptococci'', ''bacilli'' za gram hasi (''gram-negative bacilli''), ''rickettsia'' (bakteria wanaosababisha [[homa ya matumbo]]-typhoid), na ''spirochetes'' (bakteria wanaosababisha [[kisonono]]). Hutumika kutibu magonjwa katika [[mfumo wa mkojo]] na [[koo]]. Kutokana na uwezo wao wa kuathiri [[bakteria]], wakati mwingine [[tetracyclines]] zinaweza kuvuruga uwiano wa bakteria ambao hutumika na mfumo wa kinga ya mwili, kwa mfano hupelekea maambukizi ya pili katika [[njia ya chakula]] (''gastrointestinal track'') na katika [[uke]]. Matumizi ya tetracycline yamekuwa ya kikomo kwa sababu kuna aina nyingi za bakteria ambazo huwa pinzani kwa dawa hizi.
 
=== Macrolides ===
Mstari 45:
 
=== Sulfanomides ===
[[Sulfanomides]] ni antibaotikiantibiotiki za kutengeneza (siyo asilia kama ilivyo, kwa mfano penicillin) za spektra iliyopanuka madhubuti dhidi ya bakteria wengi wa gram chanya na hasi (gram-positive bacteria na gram-negative bacteria). Hatahivyo, kwa sababu bakteria wa gram hasi (gram-negative bacteria) wengi wamejenga ukinzani juu ya sulfonamides, kwa sasa antibaotikiantibiotiki hizi zimekuwa zikitumika katika kazi maalum kama kutibu maambukizi ya mfereji wa mkojo (''urinary-track infection'') dhidi ya aina za ''meningococci''.
 
Athari zinazoweza kutokea kutokana na matumizi ni kuingilia ufanyaji kazi wa [[Mfumo wa Mmeng'enyo wa Chakula|njia ya chakula]] (''gastrointestinal tract'').
 
== Utengenezaji ==
Utengenezaji wa antibaotikiantibiotiki huchukua muda mrefu na ni wa gharama sana. Kwanza, kiumbe kinachotengeneza antibaotikiantibiotiki inabidi kifahamike na antibaotikiantibiotiki hujaribiwa wa dhidi ya spishi mbalimbali za bakteria. Kisha kiumbe lazima kikuzwe ili kiweze kutoa antibaotikiantibiotiki kwa kiwango cha kutosha ili uchunguzi zaidi wa kikemikali uweze kufanyika kwa antibaotikiantibiotiki na kujaribu kuonyesha utofauti wake na zingine. Utaratibu huu ni tata kwa sababu kuna maelfu ya kampoundi ambazo hufanya kazi kama antibaotikiantibiotiki ambazo tayari zimeshagunduliwa, na bado zimekuwa zikirudiwa kugunduliwa tena. Baada ya antibaotikiantibiotiki kugunduliwa kufaa kwa ajili ya matumizi ya kutibu maambukizi katika wanyama, utengenezaji wa kiwango kikubwa huanza kufanyika.
 
Utengenezaji wa antibaotikiantibiotiki kwa ajili ya biashara huhitaji njia bora zaidi ili kupunguza gharama. Uchunguzi mkubwa huwa unahitajika ili kuongeza matokea kwa kuchagua aina fulani ya viumbe au kwa kubadili namna ya kuwakuza viumbe hao. AntibaotikiAntibiotiki ilipatikana kwa njia za asili za uvundikaji inaweza kubadilishwa kikemikali ili kutengeneza antibaotikiantibiotiki zingine. Baada ya usafishaji, athari za antibaotikiantibiotiki kwenye ufanyaji kazi wa kawaida wa tishu na ogani za kiumbe kitakachoitumia (''pharmacology'') hujaribiwa kwenye idadi kubwa ya spishi za viumbe. Pia uwezekano wa kugeuka sumu (''toxicology'') katika viumbe hivi hujaribiwa. Zaidi namna ya utumiaji ambao utaleta matokeo mazuri lazima itafutwe. Zinaweza kutumiwa kwa mdomo. Hii inaweza kuwa kwa kuyeyusha au kumeza ambapo huja kusharabiwa kwenda kwenye [[mkondo wa damu]] kupitia [[utumbo]]. Pia zinaweza kutumia kwa njia nyingine zaidi ya mdomo kama kwa kuchoma dawa kwenye misuli au mishipa ya damu pale ambapo usharabiwaji wa haraka unahitajika.
 
Katika nchi ya [[Marekani]], mara tu hatua hizi zinapokamilika, mtengenezaji hutuma maombi kwenye utawala kupitia mamlaka ya chakula na madawa (Food and Drug Administration, FDA). Yakipitishwa, antibaotikiantibiotiki huweza kujaribiwa kwa sumu, ustahimilivu, usharabiwaji na utokaji mwilini. Kama majaribio haya kwenye idadi ndogo ya watu yatafanikiwa, dawa huwekwa kwa matumizi ya kundi kubwa la watu, mara nyingi huwa kama mamia ya watu. Hatimaye dawa hutumika kwa matumizi ya kawaida katika kliniki.
 
Taratibu zote hizi, kuanzia pale antibaotikiantibiotiki inapogunduliwa kwenye maabara mpaka inapoanza kutumika kwa majaribio kliniki mara nyingi huchukua muda mrefu-zaidi ya miaka kadhaa.
 
== Tahadhari na vikomo ==
Matumizi ya antibaotikiantibiotiki yana vikomo kwa sababu [[bakteria]] wamekuwa wakibadili namna ya kujilinda dhidi ya antibaotikiantibiotiki fulani. Miongoni mwa njia kuu wanayotumia ni kuzimisha ufanyaji kazi antibaotikiantibiotiki. Hii ni njia ambao inatumiwa dhidi ya ''[[penicillin]]'' na ''[[chloramphenicol]]'' na nyinginezo. Aina nyingine ya kujilinda ni kubadilika (''mutation'') kwa vimeng’enyo vya bakteria vinavyoathiriwa na dawa kwa namna ambayo antibaotikiantibiotiki haziwezi kuzuia tena ukuaji (antibaotikiantibiotiki nyingi zina tabia chaguzi juu ya kipi cha kudhuru). Hii ndiyo namna pekee ambayo [[bakteria]] hutumia kujingika dhidi ya madawa yanoyozuia utengenezaji wa [[protini]] za bakteria kama vile ''[[tetracyclines]]''.
 
Katika [[miaka ya 1970]], [[kifua kikuu]] kilionekana kukaribia kupotea katika [[nchi zilizoendelea]], ingawa kilikuwa kinaendelea katika [[nchi zinazoendelea]]. Sasa kimekuwa kikiendelea kuwepo; kwa kiasi fulani ni kutoka na ukinzani wa ''tubercle bacillus'' (aina ya bakteria wanaosababisha kifua kikuu) dhidi ya antibaotikiantibiotiki. Bakteria fulani, hasa aina za ''staphylococci'' wamejenga upinzani/utukutu juu ya aina mbalimbali za antibaotikiantibiotiki kiasi kwamba maambukizi wanayosababisha yamekuwa hayatibiki.
 
Vivyo hivyo, ''[[plasmodia]]'', kijidudu kinachosababisha [[malaria]], kimejenga ukinzani dhidi ya antibaotikiantibiotiki mbalimbali, wakati huo huo, [[mbu]] ambao wanabeba ''[[plasmodia]]'' katika miili yao, wamekuwa pinzani dhidi ya dawa za kuua wadudu ambazo zilikuwa zinatumika kuwaua. Matokeo yake ingawa malaria iliwahi kuonyesha dalili ya kupotea, sasa imeenea sana [[Afrika]], [[Mashariki ya Kati]], [[Asia Kusini]] na sehemu za [[Amerika ya Kilatini]]. Zaidi ya yote ugunduzi wa antibaotikiantibiotiki mpya sasa umekuwa siyo aghalabu kama ilivyokuwa zamani.
 
== Angalia pia ==
Mstari 76:
 
== Viungo vya nje ==
* [http://familydoctor.org/online/famdocen/home/common/infections/protect/680.html AntibaotikiAntibiotiki - Vitu inavyoweza na isivyoweza]
* [http://health.howstuffworks.com/health-illness/treatment/medicine/medications/question88.htm HowStaffWorks - Namna AntibaotikiAntibiotiki zinavyofanya kazi]
* [http://en.wikipedia.org/wiki/Antibiotic AntibaotikiAntibiotiki katika wikipedia ya Kiingereza]
* [http://www.biotech.ntnu.no/molgen/research/antibiotics.html Utengenezaji wa AntibaotikiAntibiotiki]
# [http://users.rcn.com/jkimball.ma.ultranet/BiologyPages/A/Antibiotics.html AntibaotikiAntibiotiki]
# [http://www.medicalnewstoday.com/articles/10278.php Namna antibaotikiantibiotiki zinavyofanya kazi]
# [http://whqlibdoc.who.int/HQ/2001/WHO_CDS_CSR_DRS_2001.10.pdf Mapendekezo ya Wataalamu wa AntibaotikiAntibiotiki]
 
[[Jamii:Madawa]]