Namba sanifu ya kimataifa ya vitabu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|Namba sanifu ya kimataifa ya vitabu (ISBN) '''Namba sanifu ya kimataifa ya vitabu''' ('':en:International Standard Book Num...'
 
No edit summary
Mstari 1:
[[File:EAN-13-ISBN-13.svg|thumb|Namba sanifu ya kimataifa ya vitabu (ISBN) kwa mwandiko wa tarakimu na msimbo pau]]
'''Namba sanifu ya kimataifa ya vitabu''' (''[[:en:International Standard Book Number]]'') inayojulikana kwa kifupi chake cha '''ISBN''' ni namba ya kipekee ya utambulisho wa [[vitabu]] viuzwavyo kibiashara.
 
ISBN inapangwa kwa kila toleo na tofautisho (isipokuwa marekebisho) la [[kitabu]]. Kwa mfano, Kitabu cha kielektroniki, paperback na toleo gumu (hardcover) la kitabu kilekile kila moja itakuwa na ISBN tofauti. ISBN ina [[urefu]] wa tarakimu 13 kama iliwekwa siku au baada yakuanzia tarehe [[1 Januari]] [[2007]], na urefu wa tarakimu 10 kama iliwekwa kabla ya mwaka 2007.
 
Namna ya kuwekajikuweka waya ISBN inategemea [[taifa]] lenyewe na hutofautiana kutoka [[nchi]] hadi nchi, mara nyingi inategemea na ukubwa wa sekta ya [[uchapishaji]] ndani ya nchi. Kama kilaKila namba inaweza kuonyeshwa kwa [[tarakimu]] au [[msimbo pau]].
 
[[jamii:vitabu]]