Tofauti kati ya marekesbisho "Kitovu"

18 bytes added ,  miaka 4 iliyopita
d
no edit summary
d
[[Picha:Belly Button 002.jpg|thumb|Kitovu cha [[binadamu]]]]
 
'''Kitovu''' (kwa [[Kilatini]]: [[:la:umbilicus|umbilicus]]) ni [[kovu]] lililopo katikati ya [[fumbatio]] baada ya [[uzi]] wa [[mshipa]] unaounganisha [[mimba]] na [[mama]] [[tumbo]]ni kukatwa na kukauka.
 
Kutokana na [[maana]] hiyo asili, [[neno]] kitovu linatumika kwa jambo lolote ambalo ni [[chimbuko]] la [[kitu]].
11,236

edits