Tofauti kati ya marekesbisho "Musoma (mji)"

49 bytes added ,  miaka 4 iliyopita
no edit summary
No edit summary
No edit summary
 
}}
'''Musoma''' ni [[mji]] wa [[Tanzania]] uliopo kwenye [[mwambao]] wa [[mashariki]] yawa [[Ziwa Viktoria]]. Musoma imepata halmashauri na hadhi ya [[manisipaa]]. [[Manispaa]] hiyo inapakana na [[Wilaya ya Musoma Vijijini]]. Ni [[makao makuu]] ya [[Mkoa wa Mara]]. Musoma imepata halmashauri na hadhi yaKatika [[manisipaasensa]]. Katika sensa ya mwaka 2002, [[idadi]] ya wakazi wa mji huo ilihesabiwa kuwa 108,242 <ref>[http://web.archive.org/web/20031218001127/http://www.tanzania.go.tz/census/census/districts/musomaurban.htm Matokeo ya sensa ya 2002 kwa mkoa wa Mara]</ref>.
[[Picha:Musoma_Seeufer.jpg|thumb|left|Tembo beach]]
 
==Historia==
Kabla ya [[ukoloni]] eneo la Musoma lilikuwa nchi ya [[Wakabwe]], kundi la [[Wajaluo]] waliowahi kuhamia hapa.<ref>Siso - Shetler, uk. 75</ref>
Kabla ya ukoloni eneo la Musoma ilkuwa nchi ya Wakabwe, kundi la Wajaluo waliowahi kuhamia hapa.<ref>Siso - Shetler, uk. 75</ref> Wajerumani wa kwanza walifika mnamo mwaka 1910 walikuwa wamisionari kwa jina la Dominik na Paulo waliojenga makazi na hule karibu na makao ya Mtemi Nyabange<ref>Kutokana na maelezo katika [[Kamusi ya Koloni za Kijerumani]] Nyabange iliyoitwa "Njawangi" ([[jer.]] "j"=y) ilikuwapo takriban kilomita 10 upande wa mashariki wa Musoma kwenye mwambao wa hori ya ziwa, angalia makala "Muansa" na "Njawangi" katika kamusi hii</ref> wakafuatwa na afisa wa kwanza Mjerumani aliyeitwa na wenyeji "Bwana Sirusi" mwenye kazi ya afisa forodha. Huyu Sirusi alihamia mahali pa Musoma ya leo kwa sababu huko kina ya maji ufukoni kilifaa zaidi kwa meli kufika<ref>Siso - Shetler, uk. 79</ref>. Hivyo Musoma ilianzishwa kama bandari na baadaye makao ya ofisi mdogo wa [[Mikoa_ya_Tanzania#Utawala_wa_Kijerumani|Mkoa wa kikoloni wa Mwanza]]. Baada ya kuondolewa kwa Wajerumani Waingereza waliingia. Katika [[eneo la kudhaminiwa]] la [[Tanganyika]] Musoma ilikuwa makao makuu ya wilaya (''district'') ikaingia vile katika Tanzania huru.
 
[[Wajerumani]] wa kwanza walifika mnamo mwaka [[1910]]: walikuwa [[wamisionari]] kwa jina la Dominik na Paulo waliojenga makazi na [[shule]] karibu na makao ya [[Mtemi]] Nyabange<ref>Kutokana na maelezo katika [[Kamusi ya Koloni za Kijerumani]] Nyabange iliyoitwa "Njawangi" ([[jer.]] "j"=y) ilikuwapo takriban kilomita 10 upande wa mashariki wa Musoma kwenye mwambao wa hori ya ziwa, angalia makala "Muansa" na "Njawangi" katika kamusi hii</ref>.
Mwalimu [[Julius Nyerere]] alisoma shule hapa Musoma kuanzia mwaka 1934 na mwaka 1953 tarehe 21 Januari alirudi kufunga ndoa hapa na Maria Waningu Gabriel Magige katika kanisa la kikatoliki Musoma Mwisenge <ref>[https://books.google.co.uk/books?id=qDE3BAAAQBAJ&pg=PA231&lpg=PA231&dq=tanganyika+administration+musoma&source=bl&ots=t33uimYIhS&sig=RiDh-PWDkXTWdUeGxBb7hR9EG6s&hl=de&sa=X&ved=0CD8Q6AEwBWoVChMIn_v57sLjyAIVAscUCh1uRAG7#v=onepage&q=musoma&f=false Thomas Molony, Nyerere: The Early Years , Boydell & Brewer Ltd, 2014 , uk. 189]</ref>.
 
Wakafuatwa na [[afisa]] wa kwanza Mjerumani aliyeitwa na wenyeji "Bwana Sirusi" mwenye kazi ya afisa [[forodha]]. Huyu Sirusi alihamia mahali pa Musoma ya leo kwa sababu huko [[kina]] cha [[maji]] ufukoni kilifaa zaidi kwa [[meli]] kufika<ref>Siso - Shetler, uk. 79</ref>. Hivyo Musoma ilianzishwa kama [[bandari]] na baadaye makao ya ofisa mdogo wa [[Mikoa_ya_Tanzania#Utawala_wa_Kijerumani|Mkoa wa kikoloni wa Mwanza]].
== Marejeo na Viungo vya Nje ==
 
* <references/>
Baada ya kuondolewa kwa Wajerumani, [[Waingereza]] waliingia. Katika [[eneo la kudhaminiwa]] la [[Tanganyika]] Musoma ilikuwa makao makuu ya [[wilaya]] (''district'') ikaingia vile katika Tanzania huru.
 
Mwalimu [[Julius Nyerere]] alisoma shule hapa Musoma kuanzia mwaka [[1934]] na mwaka 1953 tarehe [[21 Januari]] [[1953]] alirudi hapa kufunga [[ndoa hapa]] na Maria Waningu Gabriel Magige katika kanisa[[Kanisa laKatoliki]] kikatolikila Musoma Mwisenge <ref>[https://books.google.co.uk/books?id=qDE3BAAAQBAJ&pg=PA231&lpg=PA231&dq=tanganyika+administration+musoma&source=bl&ots=t33uimYIhS&sig=RiDh-PWDkXTWdUeGxBb7hR9EG6s&hl=de&sa=X&ved=0CD8Q6AEwBWoVChMIn_v57sLjyAIVAscUCh1uRAG7#v=onepage&q=musoma&f=false Thomas Molony, Nyerere: The Early Years , Boydell & Brewer Ltd, 2014 , uk. 189]</ref>.
 
== Marejeo ==
* <references/>
 
== Marejeo na Viungo vya Nje ==
*[https://books.google.co.uk/books?id=-Ers-_hrLv8C&pg=PA212&lpg=PA212&dq=musoma+tanganyika&source=bl&ots=tMhrPRLKmD&sig=0fGZwcRPK5P8HCUw7brQiAXrrf4&hl=de&sa=X&ved=0CCcQ6AEwAWoVChMI3dz01sLjyAIVAZYUCh2mCQ14#v=onepage&q=musoma&f=false Zedekia Oloo Siso, Jan Bender Shetler: Grasp the Shield Firmly, the Journey is Hard: A History of Luo and Bantu Migrations to North Mara (Tanzania), 1850-1950; African Books Collective, 2010]
 
{{Kata za Manisipaa ya Musoma}}
 
{{mbegu-jio-mara}}
 
[[Jamii:Miji ya Tanzania]]
[[Jamii:Wilaya ya Musoma Mjini|*]]
Kwa sasa Musoma ni makao makuu ya Mkoa wa Mara na ni mji wenye hadhi ya MANISPAA