Pweza : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
dNo edit summary
No edit summary
Mstari 29:
*** [[Vitreledonellidae]]
}}
'''Pweza''' ni [[mnyama|wanyama]] wa [[bahari]] wenye [[mnyiri|minyiri]] ([[mkono|mikono]]) minane inayobeba [[kikombe|vikombe]] vya kumung'unyia na inayotumika kwa kukamata wanyama wadogo. Wana [[mdomo|domo]] linalofanana na lile la [[kasuku]] ili kupapuakuseta nyama[[gegereka]] kutokana mawindo[[kome]]. [[Spishi]] nyingi huingiza [[sumu]] inayopooza mawino.
 
Pweza wanaogeleahunaogelea kwa kuondoa [[maji]] kwa nguvu kupitia mrija ([[w:Siphon (mollusc)|siphon]]) wake. Wanaweza kubadilisha rangi yao na pengine umbo wao ili kufanana na kinyume na kujificha kwa mawindo na maadui. Wakivumbuliwa huruka wakitoa ghubari la wino ili kukanganya adui.
 
Pweza wanaweza kushambulia [[mtu|watu]] lakini hii ni adimu. Wakichochewa wanauma kwa domo lao na wanatoa [[sumu]], lakini spishi moja tu, [[pweza mizingo-buluu]], ana sumu inayoweza kuua watu
Mstari 41:
<gallery>
Oktopus.jpg|Minyiri
Extracted giant squid beak.jpg|Domo
Hapalochlaena lunulata.JPG|Pweza mizingo-buluu
Pweza and Ugali.JPG|Chakula ambacho pengine hujawahi kula: [[ugali]] na pweza