Philipp Lenard : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
dNo edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
[[Bild:Philipp Lenard.jpg|framed|Philipp Lenard (mnamo 1905)]]
'''Philipp Lenard''' (7 Juni 1862 – 20 Mei 1947) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya [[Ujerumani]]. Alitayarisha misingi ya nadharia za [[elektroni]]. Pia aliipinga nadharia ya [[Albert Einstein]] (''Relativity Theory''). Mwaka wa 1905 alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel]] ya Fizikia'''.