Mkate : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Replacing 2006-01-28_Bread_canyon.jpg with File:Brown_bread_crust.jpg (by CommonsDelinker because: File renamed: To change from an ambiguous name).
No edit summary
Mstari 12:
* mkate wa kinyunga kisichochachuka
 
Mikate bapa aina ya chapati hutengenezwa katika sufuria au kaango au hata juu ya jiwe la joto. Mikate minene huhitaji [[joko]] (oveni) yaani jiko lenye chumba ndani yake. Lakini kuna pia aina za mikate bapa inayotengenezwa katika oveni.
 
Kama kinyunga kinatengenezwa kwa kuongeza mafuta mengi, sukari na maziwa si mkate tena bali [[keki]].