Mkate : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 2:
[[Picha:Balboa 20 bg 120603.jpg|thumb|Tortilla]]
[[Picha:Mischbrot-1.jpg|thumb|Mkate wa Kijerumani uliotengenezwa kwa [[ngano nyekundu]]]]
[[Picha:Weißbrot-1.jpg|thumb|Mkate wa kifaransaKifaransa]]
'''Mkate''' ni [[chakula]] kinachotengenezwa kwa kuoka [[kinyunga]] cha [[unga]] na [[maji]]. Mara nyingi viungo fulanifulani huongezwa kwa kubadilisha [[ladha]]. Kuna pia mikate inayotiwa kiasi kidogo cha [[mafuta]].
 
 
'''Mkate''' ni chakula kinachotengenezwa kwa kuoka [[kinyunga]] cha [[unga]] na [[maji]]. Mara nyingi viungo huongezwa kwa kubadilisha ladha. Kuna pia mikate inayotiwa kiasi kidogo cha mafuta.
 
==Namna za mkate==
Kimsingi kuna aina [[mbili]] za mkate:
* mkate wa kinyunga kilichochachuka
* mkate wa kinyunga kisichochachuka
 
Mikate bapa aina ya [[chapati]] hutengenezwa katika [[sufuria]], au [[kaango]] au hata juu ya [[jiwe]] la [[joto]]. Mikate minene huhitaji [[joko]] (oveni) yaani [[jiko]] lenye [[chumba]] ndani yake. Lakini kuna pia aina za mikate bapa inayotengenezwa katika oveni.
 
Kama kinyunga kinatengenezwa kwa kuongeza mafuta mengi, [[sukari]] na [[Maziwa|maziwa]] si mkate tena bali [[keki]].
 
=== Aina ya mikate isiyochachuka ===
[[Chapati]] ni aina ya mkate usiochachuka pamoja na [[tortilla]] ya [[Mexiko]] na mikatimikate mbalimbali za [[Ulaya]]. Hapa unga na maji hukorogwa kuwa aina ya [[ugali]] nzitomzito, halafu kinyunga huandaliwa kwa [[umbo]] la [[sahani]] bapa na kuwekwa juu ya jiwe la joto au ndani ya sufuria juu ya [[moto]].
 
Aina mbalimbali za chapati hizi zinaongezwazinaongezewa ladha kwa kutiakutiwa mafuta au viungo ndani yake.
 
Aina hizi zote ni nyembamba kwa sababu kinyunga huwa nzitokizito mno bila kuchachuka.
 
Hii ni mbinu asilia wa kutengeneza mikate.
 
 
=== Mikate iliyochachuka ===
Kwa aina nyingi ya mikate kinyunga huchachuka. Kuna [[Dawa|madawa]] mbalimbali zinazofaa kuwa [[chachu]] kama [[hamira]]. [[kijidudu|Vijidudu]] vya chachu viko [[Hewa|hewani]], kwa hiyo kinyunga kitachachuka kikikaa hewani kwa [[muda]] wa [[siku]] [[moja]] au zaidi (chachu asilia).
 
Njia ya haraka ya na uhakika ni kutia dawa la hamira lililonunuliwa. Kama [[friji]] ipo inawezekana kuweka akiba ndogo ya kinyunga kilichochachuka kando kila safari. KitaunzwaKitatunzwa katika hali [[baridi]] halafu kukorogwa katika kinyunga kipya.
 
MikatiMikate iliyochachuka huokwa katika oveni.
 
Kuna aina nyingi sana yaza mkate [[duniani]]. Tofauti za [[rangi]] na ladha zatokanazinatokana na aina ya unga na namna ya kuoka katika oveni. Kwa jumla mikate inayotumia unga wa [[nafaka]] yote huwa [[nyeusi]] zaidi. Mikate meupemyeupe-meupemyeupe hutokana na unga wa nafaka iliyokobolewa.
 
Nafaka kama [[ngano nyekundu]] na [[shayiri]] huleta pia mkate mweusi zaidi.
 
== Mkate na utamaduni ==
Mkate kama chakula cha kila siku ni sehemu ya [[utamaduni]] wa nchi nyingi. Duniani ni [[Ujerumani|Wajerumani]] wanaokula mkate mwingi kila siku, wakifuatwa na watu wa [[Chile]]. Ujerumani kuna aina tofauti yaza mkate kati ya 500-1,000 zinazookwa katika [[duka|maduka]] ya mkate zaidi ya 16,000. Katika nchi nyingine sehemu kubwa ya mkate huokwa katika viwanda.
 
Nje ya [[miji]] mikubwa kuna bado kawaida ya kuoka mikate [[Nyumba|nyumbani]] katika nchi kadhaa, hasa za [[Asia]].
 
==Mkate na dini==
Mkate uliingia pia katika sala kuu ya Ukristo "[[Baba yetu]]". Ombi la nne lataja "mkate wa kila siku". Katika tafsiri za Kiswahili za sala hii ombi limetafsiriwa kwa njia mbili tofauti. Utamaduni wa Afrika haukujua mkate kama chakula. Waprotestant walitafsiri hapa "riziki" wakielewa maana ya mkate katika sala si chakula kile tu lakini mahitaji ya kimwili kwa jumla. Wakatoliki walitumia neno "mkate" ulioanza kutumiwa kwa chakula hiki lakini halikujulikana bado kwa watu wengi Afrika bara.
Mkate uliingia pia katika [[sala]] kuu ya [[Ukristo]] "[[Baba yetu]]", ambayo ilitungwa na [[Yesu Kristo]] mwenyewe na kuripotiwa katika [[Injili]] ya [[Injili ya Mathayo|Mathayo]] na [[Injili ya Luka|Luka]] ikiwa na tofauti ndogo kutokana na [[urefu]] wake.
 
Ombi la [[nne]] katika Mathayo linataja "mkate wa kila siku". Katika [[tafsiri]] za [[Kiswahili]] za sala hii ombi limetafsiriwa kwa njia mbili tofauti.
 
Utamaduni wa [[Waafrika]] wengi haukujua mkate kama chakula kikuu. Hivyo [[Waprotestanti]] walitafsiri hapa "riziki", wakielewa maana ya mkate katika sala si chakula kile tu, lakini mahitaji ya [[mwili]] kwa jumla.
 
[[Wakatoliki]] walitumia neno "mkate" ulioanza kutumiwa kwa chakula hiki lakini halikujulikana bado kwa watu wengi Afrika bara. Kwao ni muhimu kusisitiza uhusiano kati ya ombi hilo na [[ekaristi]], chakula cha [[roho]] kilichotolewa na [[Yesu]] kama mkate wakati wa [[karamu ya mwisho]]. Tena mwenyewe alijiita "mkate wa [[uzima]]"
 
== Picha ==
<gallery>
Image: Fladenbrot-2.jpg|Mkate bapa wa [[Uturuki]] uliochachuka
Image:Toastbrot-1.jpg|mkateMkate wa Kiingereza
Image:Work dough.jpg|Kuandaa mkate bapa
Image:Bread rolls.jpg|Mikate midogo
Line 54 ⟶ 58:
Image:Bread Sticks.jpg|Mikate ya fimbo
Image:Chleb - polish bread.jpg|Mkate duara wa [[Poland]]
 
</gallery>
 
{{mbegu-utamaduni}}
 
[[Jamii:Chakula| ]]
[[Jamii:Ekaristi]]