Kinyunga (chakula) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Baba Tabita alihamisha ukurasa wa Kinyunga hadi Kinyunga (chakula): Pia kuna lugha iitwayo Kinyunga nchini Australia
Nyongeza jina la kiswahili
 
Mstari 1:
[[Picha:Dough.jpg|thumb|250px|Kinyunga]]
'''Kinyunga''' au '''kinyunya''' ni mchanganyiko wa unga wa [[nafaka]] na kiowevu hasa [[maji]] unaotarajiwa kuokwa kwenye joto.
 
Kuna njia mbalimbali za kukoroga kinyunga ambacho ni chanzo cha [[mkate]], [[chapati]], [[keki]] au [[maandazi]]. Hata [[spaghetti]] zinaanza kama aina ya kinyunga lakini zinakaushwa kwanza na kupikwa baadaye.