London : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 22:
'''London''' ni [[mji mkuu]] wa [[Uingereza (nchi)|Uingereza]] na mji mkubwa wa nchi hii wenye wakazi [[milioni]] 7.5. Kwenye [[rundiko la mji]] [[idadi]] ya watu ni karibu milioni 14.
 
London ni mahali muhimu kwa [[biashara]] na [[benki]] kimataifa. [[Jiji]] la London ndilo linalopokea [[watalii]] wengi zaidi ulimwenguni.<ref name=mostvisits>{{cite news|url=http://www.euromonitor.com/Euromonitor_Internationals_Top_City_Destination_Ranking|title=Euromonitor International's Top City Destination Ranking|first=Caroline|last=Bremner|publisher=Euromonitor International|date=10 Januari 2010|accessdate=18 Oktoba 2010}}</ref> Uwanja wa ndege wa Heathrow unapokea wasafiri wengi zaidi kushinda mahali popote duniani.<ref name=london_007>{{cite |url=http://www.heathrowairport.com/assets/B2CPortal/Static%20Files/TopAirports04.pdf |title=Top ten world airports – 2004 |dateaccessdate=2008-03-07 |format=PDF}}</ref>
 
London ina watu wa kutoka tamaduni mbalimbali, [[dini]] tofautitofauti, na zaidi ya [[lugha]] 300 huzungumzwa jijini London.<ref name=london_006>{{Citation|url=http://www.cilt.org.uk/faqs/langspoken.htm|title=Languages spoken in the UK population|publisher=CILT, the National Centre for Language|archivedate=2008-06-06}}</ref>