Ukoloni : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
+ramani
Mstari 1:
[[Picha:Colonisation 1754.png|thumb|450px|Ramani ya Ukoloni duniani kabla ya [[Vita ya Miaka Saba]] mnamo mwaka 1754]]
[[Picha:Colonization 1945.png|thumbnail|450px|[[Ramani]] ya ukoloni duniani mwishoni mwa [[Vita Kuu ya Pili ya Dunia]] mwaka [[1945]].]]
'''Ukoloni''' ni mfumo wa [[taifa]] moja kuvuka mipaka yake na kutawala maeneo ya mbali yanayokaliwa na watu wengine kwa nyanja za [[uchumi]], [[utamaduni]] na [[jamii]]. Maeneo hayo yanaweza kuitwa ma[[koloni]] ya kawaida au ma[[eneo lindwa]] tu.