Mkate : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 45:
Ombi la [[nne]] katika Mathayo linataja "mkate wa kila siku". Katika [[tafsiri]] za [[Kiswahili]] za sala hii ombi limetafsiriwa kwa njia mbili tofauti.
Utamaduni wa [[Waafrika]] wengi haukujua mkate kama chakula kikuu. Hivyo [[Waprotestanti]] walitafsiri hapa "riziki", wakielewa maana ya mkate katika sala si chakula kile tu, lakini mahitaji ya [[mwili]] kwa jumla. Lakini tafsiri hiyo haikuzingatia maneno ya Injili yanayofafanua aina ya mkate inayomaanishwa (τον επιουσιον, yaani "ulio wa juu kuliko kawaida").
[[Wakatoliki]] walitumia neno "mkate" ulioanza kutumiwa kwa chakula hiki lakini halikujulikana bado kwa watu wengi Afrika bara.
== Picha ==
|