Kasoko ya Chicxulub : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 4:
'''Kasoko ya Chicxulub'''<ref>tamka ''chik-shulub''</ref> ni kasoko kubwa kwenye pwani la [[rasi ya Yucatan]] ([[Meksiko]]) iliyosababishwa na pigo la [[asteroidi]] miaka milioni 66 iliyopita. Inaaminiwa ya kwamba tukio hili lilisababisha kuangamizwa kwa [[dinosauri]] pamoja na spishi nyingi nyingine duniani.
 
Kasoko hii ina kipenyo cha zaidi ya [[km]] 180 hivyo ni kasoko kubwa ya tatu duniani iliyosababishwa na pigo la asteroidi (''[[:en:impact crater]]'') <ref>Earth Impact Data Base: [http://www.unb.ca/passc/ImpactDatabase/#ImpactCraterCriteria]</ref> Asteroidi iliyopiga hapa ilikuwa na kipenyo cha angalau [[km]] 10. Pigo hili lilisababisha tsunami, kuwaka kwa moto katika sehemu nyingi za dunia, mitetemeko ya ardhi na kulipuka kwa volkeno nyingi. na kutokanaKutokana na vumbi na majivu yaliyorushwa angani nuru ya jua ilizuiliwa na hivyo kutokea kipindi kirefu cha giza na baridi kali kote duniani.<ref>[http://onlinelibrary.wiley.com/doi/10.1002/2016GL072241/abstract;jsessionid=C3074C74DFCBBF47EBB1C091F1CEFEF6.f03t03?systemMessage=Wiley+Online+Library+%27Journal+Subscribe+%2F+Renew%27+page+will+be+down+on+Wednesday+05th+July+starting+at+08.00+EDT+%2F+13.00+BST+%2F+17.30+IST+for+up+to+75+minutes+due+to+essential+maintenance Climate model simulations of the effects of the asteroid impact at the end of the Cretaceous], Brugger, J., G. Feulner, and S. Petri (2017), Baby, it's cold outside: Climate model simulations of the effects of the asteroid impact at the end of the Cretaceous, Geophys. Res. Lett., 44, 419–427, doi:10.1002/2016GL072241.</ref>
 
Kasoko haionekani tena kwa macho au kutoka ndege maana [[mmomonyoko]] kwenye uso wa ardhi umeshasawazisha milima na kufunika shimo. Lakini vipimo inaonyesha mabadiliko katika miamba ya eneo hili na mabadiliko katika uga wa [[graviti]] ya eneo hili yanayotokana na densiti kubwa ya miamba pale ambako pigo lilikandamiza mwamba. Umri wa mwamba ulipimiwa na kukadiriwa kuwa takriban miaka milioni 65 - 66. Umri huu unalingana na kupotea ghafla kwa spishi nyingi kote duniani jinsi inavyoonekana katika mabaki ya [[kisukuku]].<ref name=Schulte>{{cite journal|last=Schulte|first=Peter ''et al.''|coauthors=|date=5 March 2010|title=The Chicxulub Asteroid Impact and Mass Extinction at the Cretaceous-Paleogene Boundary|journal=Science|publisher=AAAS|volume=327|issue=5970|pages=1214–1218|issn=1095-9203 |url=http://www.sciencemag.org/cgi/content/abstract/327/5970/1214|accessdate=5 March 2010|doi=10.1126/science.1177265|pmid=20203042}}