Ubora : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Kaondosha yaliyomo
No edit summary
Mstari 1:
'''Ubora''' ni sifa ya [[kiumbehai]] au [[kitu]] chochote hasa kulingana na wengine au vingine vya aina ileile.
 
Pengine ubora unatakiwa kulingana na kiwango kinachotarajiwa na watumiaji na [[sheria]] za nchi. Kwa ajili hiyo kuna [[taasisi]] maalumu zinazothibitishwa kuwa unafikia kiwango hicho. Bila uthibitisho huo [[bidhaa]] haiwezi kuuzwa.
 
{{mbegu-uchumi}}
 
[[Jamii:Uchumi]]