Mkate : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
|||
Mstari 45:
Ombi la [[nne]] katika Mathayo linataja "mkate wa kila siku". Katika [[tafsiri]] za [[Kiswahili]] za sala hii ombi limetafsiriwa kwa njia mbili tofauti.
Utamaduni wa [[Waafrika]] wengi haukujua mkate kama chakula kikuu. Hivyo [[Waprotestanti]] walitafsiri hapa "riziki", wakielewa maana ya mkate katika sala si chakula kile tu, lakini mahitaji ya [[mwili]] kwa jumla. Lakini tafsiri hiyo haikuzingatia maneno ya
Kwa [[Wakatoliki]]
== Picha ==
|