Apollo 11 : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Apollo11logo.jpg|alt=A|thumb|APOLLO 11]]
'''Apollo 11''' kilikuwa ni kifaa[[chombo cha angani]] cha kwanza kufikisha watu kwenye [[mweziMwezi]]. Hii yote ilifanywa na NASA,Kikundi cha wataalam wa [[angaNASA]] cha(Mamlaka ya [[Marekani]] ya Usafiri wa Anga).Kilikwenda Kilirushwa angani mnamo [[Julai,16, Julai]] [[1969]] ikibebakikibeba [[wanajimuwanaanga]] watatu, [[Neil Armstrong]], [[Buzz Aldrin]], na [[Michael Collins]].
 
Chombo chenyewe kilikuwa na sehemu au [[moduli]]
 
* moduli ya jukwaa (service module) penye vifaa vya kuendesha injini, usukani na sehemu walipokaa wanaanga wakati wa safari
* moduli ya huduma (service module) penye injini, matangi ya fueli na oksijeni, vifaa vya mawasiliano
* moduli ya feri ya mwezi yaani chombo cha kufikisha wanaanga 2 kwenye uso wa mwezi na kuwarudisha baadaye kwa moduli ya jukwaa
 
Sehemu ya jukwaa pekee ilikuwa na oksijeni na shinikizo la hewa kama duniani na hapa wananga waliweza kukaa bila kuvaa suti za anga.
 
Baada ya kufika kwenye obiti ya kuzunguka mwezi Amstrong na Aldrin waliingia katika feri iliyotenganishwa sasa na jukwaa na kufika mwezini.
 
Mnamo Julai,20,1969 Armstrong na Aldrin walikuwa wanadamu wa kwanza kutua kwenye Mwezi wakati Collins akibaki kwenye [[obiti]] karibu ya mwezi.
 
Baada ya masaa 22 feri iliruka tena na kuwarudisha kwenye moduli ya jukwaa. Wanaanga walihamia jukwaa na sehemu ya feri libaki katika obiti ya mwezi hadi kuanguka chini baadaye.
 
Moduli za jukwaa na huduma zilielekea tena duniani. katika obiti ya dunia moduli zote mbili zilitenganishwa ni jukwaa pekee iliyorudi duniani ikibeba wanaanga na kutua kwa msaada wa parachuti kwenye bahari ya Pasifiki takriban kilomita 24 kutoka manowari iliyowasubiri na kutuma helikopta kuwatoa nje ya maji.
 
==Marejeo==
<references/>
 
 
[[Jamii:Usafiri wa anga la nje]]