Apollo 11 : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Nembo ya Apollo 11
Mstari 1:
[[Picha:Apollo11logo.jpg|alt=A|thumb|APOLLONembo ya Apollo 11]]
'''Apollo 11''' kilikuwa ni [[chombo cha angani]] cha kwanza kufikisha watu kwenye [[Mwezi]]. Hii yote ilifanywa na [[NASA]] (Mamlaka ya Marekani ya Usafiri wa Anga). Kilirushwa angani mnamo [[16 Julai]] [[1969]] kikibeba [[wanaanga]] watatu [[Neil Armstrong]], [[Buzz Aldrin]] na [[Michael Collins]].