Apollo 11 : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
Nembo ya Apollo 11 |
No edit summary |
||
Mstari 1:
[[Picha:Apollo11logo.jpg|alt=A|thumb|Nembo ya Apollo 11]]
'''Apollo 11'''
==Muundo wa Apollo 11==
Chombo chenyewe kilikuwa na sehemu au [[moduli]]
* moduli ya jukwaa ''(command module)'' penye vifaa vya kuendesha [[injini]], [[usukani]] na sehemu walipokaa wanaanga wakati wa [[safari]]
* moduli ya huduma ''(service module)'' penye injini, matangi ya [[fueli]] na [[oksijeni]], vifaa vya [[mawasiliano]]
* moduli ya [[feri ya mwezi]] yaani chombo cha kufikisha wanaanga
Sehemu ya jukwaa pekee ilikuwa na oksijeni na shinikizo la [[hewa]] kama [[duniani]] na hapa wananga waliweza kukaa bila kuvaa [[suti za anga]].
==Apollo 11 mwezini==
Baada ya kufika kwenye [[obiti]] ya kuzunguka mwezi, Amstrong na Aldrin waliingia katika feri iliyotenganishwa sasa na jukwaa na kufika mwezini.
Mnamo [[20 Julai]] [[1969]] Armstrong na Aldrin walikuwa wanadamu wa kwanza kutua kwenye Mwezi wakati Collins akibaki kwenye [[obiti]] karibu
Baada ya masaa 22 feri iliruka tena na kuwarudisha kwenye moduli ya jukwaa. Wanaanga walihamia jukwaa na sehemu ya feri
==Kurudi duniani==
Moduli za jukwaa na huduma zilielekea tena duniani. Katika obiti ya dunia moduli zote [[mbili]] zilitenganishwa ni jukwaa pekee iliyorudi duniani ikibeba wanaanga na kutua kwa msaada wa [[parachuti]] kwenye [[bahari ya Pasifiki]] takriban [[kilomita]] 24 kutoka [[manowari]] iliyowasubiri na kutuma [[helikopta]] kuwatoa nje ya [[maji]].
==Marejeo==
<references/>
[[Jamii:Usafiri wa anga la nje]]
|