Neil Armstrong : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Neil Armstrong pose.jpg|thumb|right|Neil Armstrong]]
'''Neil Armstrong''' (amezaliwa [[5 Agosti]] [[1930]] — [[25 Agosti]] [[2012]]) nialikuwa [[rubani]] [[mwanaanga]] wa Kimarekani[[Marekani]] aliyekwendaaliyeshuka mwezini mwaka [[1969]], wa kwanza kabisa kati ya [[wanadamu]] wote.
 
'''Neil Armstrong''' (amezaliwa [[5 Agosti]] [[1930]] — [[25 Agosti]] [[2012]]) ni rubani [[mwanaanga]] wa Kimarekani aliyekwenda mwezini mwaka 1969.
 
== Mwanaanga ==
Alizaliwa katika [[familia]] ya [[wakulima]] kwenye jimbo la [[Ohio]] tarehe 5 Agosti 1930.

Baada ya kumaliza [[shule]] alijiunga na [[jeshi]] ambako alipata mafunzo ya [[uhandisi]] na kuwa rubani. Mwaka [[1952]] alishiriki katika [[vita]] vya [[Korea]].
 
== Rubani wa majaribio ==
Mnamo mwaka [[1955]] aliajiriwa na taasisi ya mambo (shughuli za) (utafiti wa mambo) ya anga ([[NASA]]) kama rubani wa majaribio kwa aina mpya za [[Ndege (uanahewa)|ndege]].

Mnamo mwaka [[1958]] alikuwa mmojawapo katika kundi la marubani waliotayarishwa kupelekwa kwenye [[anga la nje]].
 
== Mwanaanga ==
Baada ya kuundwa kwa [[NASA]] aliingia katika kundi la wanaanga. [[Safari]] yake ya kwanza ilikuwa [[16 Machi]] [[1966]] kama mwanaanga kiongozi wa [[Gemini]] 8]]. Kilele cha safari hii ilikuwa kukutana kwa Gemini 8 na [[satelaiti]] nyingine na kuunganisha vyombo vyote viwili kwa muda wa masaa kadhaa.
[[Picha:As11-40-5886, uncropped.jpg|thumb|330px|Armstrong akiangalia chombo cha angani mwezini]]
 
== Safari ya kwenda mwezini ==
Baadaye aliteuliwa kuwa makamu wa kikundi cha wanaanga waliokwenda mwezini kwa kutumia chombo kilichoitwa [[Apollo 11]]. [[Ajali]] ya [[Apollo 1]] iliyosababisha [[kifo]] cha mwenzake hapo kabla, ndiyo iliyompelekea kujiunga kwake na kundi la Apollo 11. Tar.

Tarehe [[20 Julai]] [[1969]] Neil Armstrong pamoja na [[Edwin Aldrin]] waliutataga uso wa mwezi wakiwa wanadamu wa kwanza mwezini. Walitoka katika [[chombo cha angani]] na kutembea mwezini kwa mara ya kwanza. [[Picha]] hizihizo zilionyeshwa kote [[duniani]] kwa wakati huohuo. Akiwa katika hali hii, Armstrong alitamka maneno yafuatayo: "Hii ni hatua ndogo kwa mtu lakini hatua kubwa kwa ubinadamu."
 
Baada ya kurudi salama, Armstrong aliacha [[kazi]] katika NASA na badala yake akawa [[profesa]] wa uwanaangauanaanga kwenye [[chuo kikuu]] cha [[Cincinnati]] katika mwaka [[1971]] hadi alipostaafu na kujishugulisha na [[biashara]] zake.
 
{{Mbegu-mtu}}
Line 22 ⟶ 27:
{{DEFAULTSORT:Armstrong, Neil}}
[[Jamii:Waliozaliwa 1930]]
[[Jamii:WatuWaliofariki walio hai2012]]
[[Jamii:Wanaanga wa Marekani]]
[[Jamii:Ohio]]