Tofauti kati ya marekesbisho "Double Impact"

1 byte added ,  miaka 13 iliyopita
Double Impact
(Double Impact)
 
(Double Impact)
| lugha = [[Kiingereza]]
}}
'''Double Impact''' ni filamu ya mwaka [[1991]], iliyoongozwa na Sheldon Lettich na ilichezailichezwa na mwigizaji shupavu na mjasiri [[Jean-Claude Van Damme]] alicheza kama Alex/Chad Wagner.
==Muhtasari wa filamu==
Alex na Chad Wagner walizaliwa watoto mapacha waliokuja kutengana wakiwa bado wachanga, kutokana na kuawa kwa wazazi wa watoto hao. Baada ya miaka 25 wakaja kukutana tena kwa mara ya kwanza na kuanza kuunda kikosi cha pamoja ili waweze kulipiza kisasi kwa watu waliohusika kuhondosha uhai wa wazazi wao.