Mjomba : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 7:
Tena kwa [[Kiingereza]] "nephew" linaweza kumaanisha "mpwa" lakini pia "mtoto" (ikiwa anayesema ni wa jinsia ileile ya mzazi).
 
[[Wajibu]] na [[haki]] kati ya mjomba na mpwa wake vinategemea [[utamaduni]] wa mahali. Katika baadhi ya [[Kabila|makabila]], kama yale yanayotia maanani [[ukoo]] wa [[mama]] kuliko ule wa baba ("[[mfumojike]]" au "mfumomama"), mjomba ni muhimu kuliko baba mzazi.
 
Pengine kwa [[heshima]] mtu anaweza akamuita mwingine "mjomba" ingawa hawana undugu wowote wa karibu.
 
[[Mke]] wa mjomba anaitwa "mkazahau" au "mkazamjomba".
 
{{mbegu-utamaduni}}