Kiwanda : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
<sup>Kwa matumizi tofauti ya jina hili angalia [[Kiwanda (maana)]]</sup>
[[File:Wolfsburg VW-Werk.jpg|thumb|250px|Kiwanda cha [[Volkswagen]] huko [[Wolfsburg]] nchini [[Ujerumani]].]]
'''Kiwanda''' ni mahali ambapo [[bidhaa]] mbalimbali hutengenezwa, yaani penye [[Jengo|majengo]] na [[mashine]]. Bidhaa hizo zinaweza kuwa ndoo, sahani, bakuli, vijiko, masufuria, magari, kompyuta, bati, vyakula mbalimbali, nyundo, pasi, baiskeli, pikipki na vitu mbalimbali kwa ujumla. HIvyo kuna aina mbalimbali za viwanda: vipo viwanda vya vyakula, vya magari, vya vifaa vya ujenzi, vya vyombo mbalimbali, na vya vitu vizito, vya vyuma n.k.
'''Kiwanda''' ni mahali penye [[Jengo|majengo]] na [[mashine]] ambako [[bidhaa]] zinazalishwa.
 
Viwanda vilisambaa hasa kuanzia [[karne ya 19]] wakati wa [[Mapinduzi ya viwandani]] ambako [[uzalishaji]] wa bidhaa ulihamishwa kutoka [[karakana]] za [[Fundi|mafundi]] kwenda [[taasisi]] kubwa zaidi ambako mashine pamoja na mpangilio wa [[kazi]] viliongeza tija ya uzalishaji.
Mstari 10:
 
Uzalishaji wa bidhaa katika viwanda umekuwa msingi muhimu wa mchakato wa [[utandawazi]] ambako bidhaa nyingi zinazalishwa katika nchi fulani na kuuzwa kote [[duniani]] ilhali vipuli vya kutengenezea bidhaa hizi tena zinatoka katika nchi tofauti.
Kila nchi ina viwanda mbalimbali. Viwanda hivyo huisaidia nchi hiyo pindi iuzapo bidhaa hizo, pia huisaidia nchi husika kunufaika kiuchumi kwa uwepo wa viwanda hivyo.
 
Zipo nchi zenye viwanda vingi zaidi; nchi yenye viwanda vingi ni nchi tajiri, kwa mfano [[Japani]]. Japani inaongoza kwa kuwa na viwanda vingi zaidi duniani, pia viwanda hivyo ni vya kutengeneza bidhaa kubwa na nzito zaidi. Bidhaa hizo zinazozalishwa nchini japan ni meli, ndege, treni, magari,n.k.
 
Viwanda vina faida kubwa sana katika nchi yenye viwanda hivyo; faida hizo ni:
* 1) Kuisaidia nchi kukua kiuchumi,
* 2) kupata fedha za kigeni,
* 3)kulipa madeni wanayodaiwa,
* 4)kuajili watu ambao hawana kazi,
* 5)na kunufaisha taifa kwa ujumla n.k.
 
Tunapokuwa na viwanda tunanufaika kwa vitu vingi. Lakini viwanda vina madhara pia, tena mengi sana. Madhara hayo ni:
*1) moshi unaotoka viwandani huharibu anga hewa(ozon layer) ambapo anga linapo toboka husababisha mahali hapo kuwa na joto kali sana ,
*2) maji machafu yanayotiririshwa kwenye mito husababisha madhara kwa viumbe wa majini na watu wanaotumia maji ya mto huo,
*3) uchafu unaobaki husababisha magonjwa mbalimbali ya milipuko,
*4) viwanda hutoa hewa chafu ambayo husababisha matatizo ya upumuaji kwa ujumla. Kwa hiyo tuvitunze viwanda vyetu ili vilete faida, si kuangamiza watu na viumbe wengine.
 
{{mbegu-uchumi}}