Kiwanda : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
<sup>Kwa matumizi tofauti ya jina hili angalia [[Kiwanda (maana)]]</sup>
[[File:Wolfsburg VW-Werk.jpg|thumb|250px|Kiwanda cha [[Volkswagen]] huko [[Wolfsburg]] nchini [[Ujerumani]].]]
'''Kiwanda''' ni mahali ambapo [[bidhaa]] mbalimbali hutengenezwa, yaani penye [[Jengo|majengo]] na [[mashine]]. Bidhaa hizo zinaweza kuwa [[ndoo]], [[sahani]], bakuli, vijiko, masufuria, magari, [[kompyuta]], bati, vyakula mbalimbali, nyundo, pasi, baiskeli, pikipki na vitu mbalimbali kwa ujumla. HIvyo kuna aina mbalimbali za viwanda: vipo viwanda vya vyakula, vya magari, vya vifaa vya ujenzi, vya vyombo mbalimbali, na vya vitu vizito, vya vyuma n.k.
 
Viwanda vilisambaa hasa kuanzia [[karne ya 19]] wakati wa [[Mapinduzi ya viwandani]] ambako [[uzalishaji]] wa bidhaa ulihamishwa kutoka [[karakana]] za [[Fundi|mafundi]] kwenda [[taasisi]] kubwa zaidi ambako mashine pamoja na mpangilio wa [[kazi]] viliongeza tija ya uzalishaji.
Mstari 18:
* 1) Kuisaidia nchi kukua kiuchumi,
* 2) kupata fedha za kigeni,
* 3) kulipa madeni wanayodaiwa,
* 4) kuajili watu ambao hawana kazi,
* 5) na kunufaisha taifa kwa ujumla n.k.
 
Tunapokuwa na viwanda tunanufaika kwa vitu vingi. Lakini viwanda vina madhara pia, tena mengi sana. Madhara hayo ni:
* 1) moshi unaotoka viwandani huharibu anga hewa(ozon layer) ambapo anga linapo toboka husababisha mahali hapo kuwa na joto kali sana ,
* 2) maji machafu yanayotiririshwa kwenye mito husababisha madhara kwa viumbe wa majini na watu wanaotumia maji ya mto huo,
* 3) uchafu unaobaki husababisha magonjwa mbalimbali ya milipuko,
* 4) viwanda hutoa hewa chafu ambayo husababisha matatizo ya upumuaji kwa ujumla. Kwa hiyo tuvitunze viwanda vyetu ili vilete faida, si kuangamiza watu na viumbe wengine.
 
{{mbegu-uchumi}}
Mstari 32:
[[Jamii:Uchumi]]
[[Jamii:Teknolojia]]
[[Jamii:Hifadhi ya mazingira]]