Wakimbu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Wakimbu''' ni [[kabila]] la watu wa [[Tanzania]] wanaoishi mpakani mwa [[mikoa]] mitatu, yaani [[Mkoa wa Tabora]], [[Mkoa wa Singida]] na [[Mkoa wa Mbeya]], hasa kwenye [[Wilaya ya Sikonge]], [[Wilaya ya Manyoni]] na [[Wilaya ya Chunya]]. [[Lugha]] yao ni [[Kikimbu]].
 
{{Makabila ya Tanzania}}
{{fupi}}
{{mbegu-utamaduni-TZ}}
{{DEFAULTSORT:Kimbu}}
[[Jamii:Makabila ya Tanzania]]v