Tofauti kati ya marekesbisho "Double Impact"

4 bytes added ,  miaka 13 iliyopita
Double Impact
(Double Impact)
(Double Impact)
| imeongozwa na = Sheldon Lettich
| imetungwa na = Sheldon Lettich

[[Jean- Claude Van Damme]]

Steve Meerson

Peter Krikes
| imetaarishwa na = [[Jean- Claude Van Damme]]

Paul Michael Glaser
| nyota = [[Jean Claude Van Damme]]

| lugha = [[Kiingereza]]

'''Double Impact''' ni filamu ya mwaka [[1991]], iliyoongozwa na Sheldon Lettich na ilichezwa na mwigizaji shupavu na mjasiri [[Jean- Claude Van Damme]] alicheza kama Alex/Chad Wagner.
==Muhtasari wa filamu==
Alex na Chad Wagner walizaliwa watoto mapacha waliokuja kutengana wakiwa bado wachanga, kutokana na kuawa kwa wazazi wa watoto hao. Baada ya miaka 25 wakaja kukutana tena kwa mara ya kwanza na kuanza kuunda kikosi cha pamoja ili waweze kulipiza kisasi kwa watu waliohusika kuhondosha uhai wa wazazi wao.
==Washiriki==
* [[Jean- Claude Van Damme]] — Chad Wagner / Alex Wagner
* Geoffrey Lewis — Frank Avery
* Alonna Shaw — Danielle Wilde