Tofauti kati ya marekesbisho "Vipimo sanifu vya kimataifa"

no edit summary
'''Vipimo sanifu vya kimataifa''' ([[Kifar:en:International system of measurements]], [[far.]]: '''Système International d'unités'''; kifupi chake: '''SI''') ni utaratibu uliokubaliwa kimataifa kwa kuwa na [[kizio|vizio]] vya upimaji vya pamoja duniani. Maendeleo na matumizi ya utaratibu huo huangaliwa na [[Ofisi ya Kimataifa ya Vipimo]].
 
Msingi wa utaratibu huu ni [[mita]]. Vizio vingine ni vya urefu ([[mita]]), masi ([[kilogramu]]), wakati ([[sekondi]]), mkondo wa umeme ([[ampea]]), halijoto ([[kelvini]]), kanieneo ([[paskali]]), kiasi cha dutu ([[moli]]), mwangaza au ukalifu nunurikaji ([[kandela]]).