Tofauti kati ya marekesbisho "Mwangaza unaoonekana"

670 bytes added ,  miaka 4 iliyopita
(Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Uangavu''' ni tabia ya nyota inayosaidia kuzitofautisha. Kuna tofauti kati ya '''uangavu unaoonekana''' na '''uangavu halisi'''. Umbali kati ya vitu kw...')
 
 
==Kipimo cha magnitudo==
Kwa kutaja kiasi cha uangavu wanaastronomia hutumia kizio cha "magnitudo" (kifupi mag). Neno hili la [[Kilatini]] linamaanisha "ukubwa". Kadri uangavu ni mkubwa namba ya magnitudo ni ndogo.
 
Kwa mfano nyota ya [[Sumbula]] ina magnitudo ya +1,04 mag. [[Rijili Kantori]] inayojulikana pia kama [[en:Alpha Centauri|Alpha Centauri]] ambayo ni nyota jirani yetu katika anga la njke ina uanganvu unaoonekana wa +0.12 mag maana yake nuru yake ni kali zaidi.
 
Kama gimba la anga inang'aa sana ina [[namba hasi]] kwa mfano nyota angavu sana kama [[Shira]] ''(Sirius)'' na [[sayari]] za [[Zuhura]] ''(Venus)'' au [[Mshtarii]] ''(Jupiter)''.
 
Kipimo hakifuati mstari bali vizio vyake vinafuatana kwa hatua za [[logi]]. kwa hiyo ongezeko la uangavu kutoka kizio kimoja hadi inayofuata ni takriban mara 2.5
 
== Mifano ya uangavu unaoonekana na halisi ==